title : WASHINDI 36 WA PROMOSHENI YA NYAKA NYAKA BONUS WAZAWADIWA.
kiungo : WASHINDI 36 WA PROMOSHENI YA NYAKA NYAKA BONUS WAZAWADIWA.
WASHINDI 36 WA PROMOSHENI YA NYAKA NYAKA BONUS WAZAWADIWA.
Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kulia) akimkabidi Mariam Akida (kati) mkaazi wa Tabata jijini Dar es Salaam zawadi ya simu janja aina ya Tecno R6 aliyoshinda katika promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus. Jumla ya washindi 36 walipata zawadi za simu janja kutoka Tigo katika promosheni hiyo inayoendelea. Kushoto ni Mtaalam wa Usambazaji wa Bidhaa wa Tigo, Baraka Hamza.
Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (wa pili kushoto) pamoja na Mtaalam wa Usambazaji wa Bidhaa wa Tigo, Baraka Hamza (kushoto) wakiwa pamoja na baadhi ya washindi wa zawadi ya simu janja aina ya Tecno R6 walizoshinda katika promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus. Jumla ya washindi 36 kutoka sehemu mbali mbali nchini walipata zawadi za simu janja kutoka Tigo katika promosheni hiyo inayoendelea.

Kupitia promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus, Tigo itaongeza idadi ya watumiaji wa simu za kisasa pamoja na matumizi ya data nchini.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala WASHINDI 36 WA PROMOSHENI YA NYAKA NYAKA BONUS WAZAWADIWA.
yaani makala yote WASHINDI 36 WA PROMOSHENI YA NYAKA NYAKA BONUS WAZAWADIWA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WASHINDI 36 WA PROMOSHENI YA NYAKA NYAKA BONUS WAZAWADIWA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/washindi-36-wa-promosheni-ya-nyaka.html
0 Response to "WASHINDI 36 WA PROMOSHENI YA NYAKA NYAKA BONUS WAZAWADIWA."
Post a Comment