title : wananchi wa kawe jijini Dar es salaam waomba serikali kuingilia kati mgogoro wa kiwanja chenye msikiti
kiungo : wananchi wa kawe jijini Dar es salaam waomba serikali kuingilia kati mgogoro wa kiwanja chenye msikiti
wananchi wa kawe jijini Dar es salaam waomba serikali kuingilia kati mgogoro wa kiwanja chenye msikiti
Mwanaharakati na Mzawa Kawe James Mwakibinga akizungumza na wakazi wa Kawe wakati walipokuwa wakitoa ombi lao kwa Rais Magufuli kupitia Waziri Lukuvi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuingilia kati mgogoro wa kiwanja namba 196 kilichojengwa Msikiti ambapo mmoja ya mfanyabiashara mmoja anataka kuubomoa Msikiti huo
Katibu wa Msikiti huo akitoa tamko la Msikiti kutangaza kuwa hawakubaliani kamwe na maamuzi ya Mahakama kwa madai kuwa haki aikutendeka katika utekelezwaji wa hukumu yao ya kutaka msikiti huo uvunjwe
Sehemu ya Waandishi wa Habari na Wakazi wa Kawe wakifatilia kwa Makini Mkutano wa Msikiti wa Kawe ukwamani kupinga kubomolewa Msikiti wao na Wafanyabiashara.
Hivyo makala wananchi wa kawe jijini Dar es salaam waomba serikali kuingilia kati mgogoro wa kiwanja chenye msikiti
yaani makala yote wananchi wa kawe jijini Dar es salaam waomba serikali kuingilia kati mgogoro wa kiwanja chenye msikiti Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala wananchi wa kawe jijini Dar es salaam waomba serikali kuingilia kati mgogoro wa kiwanja chenye msikiti mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/wananchi-wa-kawe-jijini-dar-es-salaam.html
0 Response to "wananchi wa kawe jijini Dar es salaam waomba serikali kuingilia kati mgogoro wa kiwanja chenye msikiti"
Post a Comment