title : WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI OFISI YA BUNGE WAPATIWA SEMINA JINSI YA KUKABILIANA NA VIHASHIRIA HATARISHI NDANI YA OFISI YA BUNGE
kiungo : WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI OFISI YA BUNGE WAPATIWA SEMINA JINSI YA KUKABILIANA NA VIHASHIRIA HATARISHI NDANI YA OFISI YA BUNGE
WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI OFISI YA BUNGE WAPATIWA SEMINA JINSI YA KUKABILIANA NA VIHASHIRIA HATARISHI NDANI YA OFISI YA BUNGE
Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Ndg. Nenelwa Wankanga akifungua semina ya Jinsi ya kukabiliana na Vihashiria hatarishi ndani ya Ofisi ya Bunge kwa Wakurugenzi, Wakurugenzi wasaidizi, Wakuu wa Vitengo na baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Bunge iliyoanza leo katika kumbi za Bunge Mjini Dodoma.
Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakifuatilia semina iliyotolewa na Wahadhiri waandimizi kutoka Chuo kikuu cha Mzumbe Jinsi ya kukabiliana na Vihashiria hatarishi ndani ya Ofisi ya Bunge, iliyofanyika leo katika kumbi za Bunge Mjini Dodoma.
.PICHA NA OFISI YA BUNGE.
Hivyo makala WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI OFISI YA BUNGE WAPATIWA SEMINA JINSI YA KUKABILIANA NA VIHASHIRIA HATARISHI NDANI YA OFISI YA BUNGE
yaani makala yote WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI OFISI YA BUNGE WAPATIWA SEMINA JINSI YA KUKABILIANA NA VIHASHIRIA HATARISHI NDANI YA OFISI YA BUNGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI OFISI YA BUNGE WAPATIWA SEMINA JINSI YA KUKABILIANA NA VIHASHIRIA HATARISHI NDANI YA OFISI YA BUNGE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/wakurugenzi-wakurugenzi-wasaidizi-na_12.html
0 Response to "WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI OFISI YA BUNGE WAPATIWA SEMINA JINSI YA KUKABILIANA NA VIHASHIRIA HATARISHI NDANI YA OFISI YA BUNGE"
Post a Comment