WAKALA VYUO VIKUU VYA NJE AIOMBA SERIKALI KUANGALIA MFUMO HATI YA KUSAFIRIA KWA WANAFUNZI

WAKALA VYUO VIKUU VYA NJE AIOMBA SERIKALI KUANGALIA MFUMO HATI YA KUSAFIRIA KWA WANAFUNZI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAKALA VYUO VIKUU VYA NJE AIOMBA SERIKALI KUANGALIA MFUMO HATI YA KUSAFIRIA KWA WANAFUNZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAKALA VYUO VIKUU VYA NJE AIOMBA SERIKALI KUANGALIA MFUMO HATI YA KUSAFIRIA KWA WANAFUNZI
kiungo : WAKALA VYUO VIKUU VYA NJE AIOMBA SERIKALI KUANGALIA MFUMO HATI YA KUSAFIRIA KWA WANAFUNZI

soma pia


WAKALA VYUO VIKUU VYA NJE AIOMBA SERIKALI KUANGALIA MFUMO HATI YA KUSAFIRIA KWA WANAFUNZI

Na Ripota Wetu,Globu ya jamii
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Wakala  ya Vyuo Vikuu vya Nje ya Darwin, Joseph Makungu amesema mfumo mpya wa hati ya kusafiria unapaswa kuwangalia wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vikuu vya nje ambao hawana sifa ya kupata hati hiyo kutokana kutofikisha miaka 18 ya kuweza kupata hati hizo.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi huyo amesema mamlaka zinazotoa vitambulisho ni vema kuangalia kundi hilo ili kupata hati ya kusafiria pale wanapohitaji kwa ajili ya masomo katika vyuo vikuu vya nje.

Amesema hati ya kusafiria ambayo imeanza kutolewa ni ya viwango vya kimataifa ambapo Tanzania imeweza kuthubu katika kwenda na wakati.

Makungu amesema wakala wa vyuo vikuu vya nje  kutokana na mfumo wa hati ya kusafiria kwa idara ya uhamiaji kuweza kuwapa elimu juu ya mfumo wakaulewa ili mbele ya safari wasipate usumbufu kwa wanafunzi pale wanapotaka kusafiri kwa masomo katika vyuo vikuu vya nje.
Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya Uwakala wa Vyuo Vikuu vya Nje, Joseph Makungu akizungumza na waandishi habari kuhusiana na mfumo wa Hati ya Kusafiria, jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala WAKALA VYUO VIKUU VYA NJE AIOMBA SERIKALI KUANGALIA MFUMO HATI YA KUSAFIRIA KWA WANAFUNZI

yaani makala yote WAKALA VYUO VIKUU VYA NJE AIOMBA SERIKALI KUANGALIA MFUMO HATI YA KUSAFIRIA KWA WANAFUNZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAKALA VYUO VIKUU VYA NJE AIOMBA SERIKALI KUANGALIA MFUMO HATI YA KUSAFIRIA KWA WANAFUNZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/wakala-vyuo-vikuu-vya-nje-aiomba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAKALA VYUO VIKUU VYA NJE AIOMBA SERIKALI KUANGALIA MFUMO HATI YA KUSAFIRIA KWA WANAFUNZI"

Post a Comment