Ujumbe Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Lesotho Wakutana na Naibu Waziri Kwandikwa

Ujumbe Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Lesotho Wakutana na Naibu Waziri Kwandikwa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ujumbe Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Lesotho Wakutana na Naibu Waziri Kwandikwa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ujumbe Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Lesotho Wakutana na Naibu Waziri Kwandikwa
kiungo : Ujumbe Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Lesotho Wakutana na Naibu Waziri Kwandikwa

soma pia


Ujumbe Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Lesotho Wakutana na Naibu Waziri Kwandikwa

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa (kushoto) akizungumza katika kikao cha kubadilishana uzoefu kati ya wajumbe wa nchi ya Lesotho na Tanzania. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Lesotho, Mhe. Lehlohonolo Moramotse (kulia) ameongoza ujumbe huo uliokuja kwa ziara ya mafunzo nchini Tanzania. 
Baadhi ya maofisa waandamizi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini wakiwa kwenye kikao cha kubadilishana uzoefu kati ya wajumbe wa nchi ya Lesotho na Tanzania. 
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Patrick Mfugale akielezea namna TANROADS inavyotekeleza kazi zake kwenye kikao cha kubadilishana uzoefu na wajumbe wa nchi ya Lesotho na Tanzania. Ujumbe huo unaongozwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Lesotho, Mhe. Lehlohonolo Moramotse pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi wa Lesotho, Mathabathe Hlalele.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi wa nchi ya Lesotho, Mathabathe Hlalele (katikati) akizungumza kwenye kikao cha kubadilishana uzoefu kati ya wajumbe wa nchi hiyo na Tanzania. 



Hivyo makala Ujumbe Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Lesotho Wakutana na Naibu Waziri Kwandikwa

yaani makala yote Ujumbe Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Lesotho Wakutana na Naibu Waziri Kwandikwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ujumbe Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Lesotho Wakutana na Naibu Waziri Kwandikwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/ujumbe-wizara-ya-ujenzi-na-uchukuzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ujumbe Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Lesotho Wakutana na Naibu Waziri Kwandikwa"

Post a Comment