SERIKALI YAWASIMAMISHA KAZI MAAFISA UTUMISHI HALMASHAURI WILAYA YA KWIMBA KWA KUTOWAJIBIKA

SERIKALI YAWASIMAMISHA KAZI MAAFISA UTUMISHI HALMASHAURI WILAYA YA KWIMBA KWA KUTOWAJIBIKA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAWASIMAMISHA KAZI MAAFISA UTUMISHI HALMASHAURI WILAYA YA KWIMBA KWA KUTOWAJIBIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAWASIMAMISHA KAZI MAAFISA UTUMISHI HALMASHAURI WILAYA YA KWIMBA KWA KUTOWAJIBIKA
kiungo : SERIKALI YAWASIMAMISHA KAZI MAAFISA UTUMISHI HALMASHAURI WILAYA YA KWIMBA KWA KUTOWAJIBIKA

soma pia


SERIKALI YAWASIMAMISHA KAZI MAAFISA UTUMISHI HALMASHAURI WILAYA YA KWIMBA KWA KUTOWAJIBIKA


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akikagua moja ya jalada la mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba ili kujiridhisha juu ya uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa Halmashauri hiyo.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akimhoji Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba sababu za kutomchukulia hatua mmoja wa watumishi mwenye tatizo la cheti licha ya kuwepo taarifa ambazo zinamuwezesha kuchukua hatua.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akiwa katika kikao na Maafisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba ili kujiridhisha juu ya uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa Halmashauri hiyo.
Afisa Tawala Mwandamizi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw. Zephania Mshanga (katikati) akipitia orodha ya watumishi waliohakikiwa vyeti vya ufaulu wa kidato cha nne na cha sita wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akiwa katika mazungumzo ya kikazi na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Kamishna wa Polisi, Bw. Clodwing Mtweve alipomtembelea Ofisini kwake Katibu Tawala huyo. Katikati ni Afisa Tawala Mwandamizi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw. Zephania Mshanga akifuatilia mazungumzo hayo kwa makini.


Hivyo makala SERIKALI YAWASIMAMISHA KAZI MAAFISA UTUMISHI HALMASHAURI WILAYA YA KWIMBA KWA KUTOWAJIBIKA

yaani makala yote SERIKALI YAWASIMAMISHA KAZI MAAFISA UTUMISHI HALMASHAURI WILAYA YA KWIMBA KWA KUTOWAJIBIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAWASIMAMISHA KAZI MAAFISA UTUMISHI HALMASHAURI WILAYA YA KWIMBA KWA KUTOWAJIBIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/serikali-yawasimamisha-kazi-maafisa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI YAWASIMAMISHA KAZI MAAFISA UTUMISHI HALMASHAURI WILAYA YA KWIMBA KWA KUTOWAJIBIKA"

Post a Comment