title : Serikali na TFF yakutana na Wahariri wa Michezo kujadili Maandalizi ya Ujio wa Rais wa FIFA na CAF
kiungo : Serikali na TFF yakutana na Wahariri wa Michezo kujadili Maandalizi ya Ujio wa Rais wa FIFA na CAF
Serikali na TFF yakutana na Wahariri wa Michezo kujadili Maandalizi ya Ujio wa Rais wa FIFA na CAF
Mjumbe wa CAF na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa Bw.Leodger Tenga (katikati) akizungumza na Wahariri wa Habari za Michezo kutoka vyombo mbalimbali nchini (hawapo pichani) kuhusu mambo ambayo uongozi wa FIFA utapenda kujua katika soka la Tanzania ambapo moja wapo ni Maendeleo ya Soka la Wanawake,Kushoto ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe na Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw.Yusuph Singo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Bw.Wallace Karia (katikati) akitoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa waandishi watakao shiriki kuripoti habari wakati wa ujio wa Rais wa FIFA na CAF nchini kwa Wahariri wa Habari za Michezo kutoka vyombo vya habari nchini (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe na Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw.Yusuph Singo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na Wahariri wa Habari za Michezo kutoka vyombo mbalimbali nchini (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu utaratibu wa ujio wa Rais FIFA na CAF nchini mwezi huu kwa ajili ya kufanya mkutano wa kujalili agenda za mkutano mkuu wa FIFA,na Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw.Yusuph Singo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo.
Na Anitha Jonas – WHUSM
Hivyo makala Serikali na TFF yakutana na Wahariri wa Michezo kujadili Maandalizi ya Ujio wa Rais wa FIFA na CAF
yaani makala yote Serikali na TFF yakutana na Wahariri wa Michezo kujadili Maandalizi ya Ujio wa Rais wa FIFA na CAF Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Serikali na TFF yakutana na Wahariri wa Michezo kujadili Maandalizi ya Ujio wa Rais wa FIFA na CAF mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/serikali-na-tff-yakutana-na-wahariri-wa.html
0 Response to "Serikali na TFF yakutana na Wahariri wa Michezo kujadili Maandalizi ya Ujio wa Rais wa FIFA na CAF"
Post a Comment