title : ROTALY CLUB YATOA MICHE YA MITI 4000 KWA SHULE 6 MANISPAA YA SONGEA
kiungo : ROTALY CLUB YATOA MICHE YA MITI 4000 KWA SHULE 6 MANISPAA YA SONGEA
ROTALY CLUB YATOA MICHE YA MITI 4000 KWA SHULE 6 MANISPAA YA SONGEA
Viongozi wa Club ya Rotaly tawi la Songea moani Ruvuma wakiangalia kitalu kimojawapo cha miti kilichooteshwa na klub hiyo,ili miti iweze kusambazwa katika shule za msingi na sekondari katika manispaa ya Songea.
Rais wa club ya Rotaly Tawi la Songea Albert Kessy wa pili kushoto pamoja na baadhi ya viongozi wakikabidhi miche ya miti kwa mratibu wa Asasi isiyokuwa ya kiserikali ya Roots And Shoots inayofanya kazi ya uelimishaji kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari moani Ruvuma katika uhifadhi wa mazingira jamii na wanyama Oddo Ngatunga katikati.
Hivyo makala ROTALY CLUB YATOA MICHE YA MITI 4000 KWA SHULE 6 MANISPAA YA SONGEA
yaani makala yote ROTALY CLUB YATOA MICHE YA MITI 4000 KWA SHULE 6 MANISPAA YA SONGEA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ROTALY CLUB YATOA MICHE YA MITI 4000 KWA SHULE 6 MANISPAA YA SONGEA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/rotaly-club-yatoa-miche-ya-miti-4000.html
0 Response to "ROTALY CLUB YATOA MICHE YA MITI 4000 KWA SHULE 6 MANISPAA YA SONGEA"
Post a Comment