RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MWANASHERIA MKUU, NAIBU WAKE NA MAJAJI WAWILI LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MWANASHERIA MKUU, NAIBU WAKE NA MAJAJI WAWILI LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MWANASHERIA MKUU, NAIBU WAKE NA MAJAJI WAWILI LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MWANASHERIA MKUU, NAIBU WAKE NA MAJAJI WAWILI LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
kiungo : RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MWANASHERIA MKUU, NAIBU WAKE NA MAJAJI WAWILI LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

soma pia


RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MWANASHERIA MKUU, NAIBU WAKE NA MAJAJI WAWILI LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha  Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya, Dkt. Adelardus Kilangi  Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha  Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Paul Joel Ngwembe Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha, Mhe. Gerson J. Mdemu kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania   Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza,  Mhe. George Mcheche Masaju  akiongea machache baada ya kumwapisha kuwa Jaji wa Mahakama kuu Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaangalia wakila kiapo cha maadili ya viongozi kutoka kulia  ma-Jaji wa Mahakama kuu  Mhe. George Mcheche Masaju na Mhe. Gerson J. Mdemu, wakifuatiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya Dkt. Adelardus Kilangi na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Paul Joel Ngwembe baada ya kuwaapisha  Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza  Mhe. Gerson J. Mdemu akiongea machache baada ya kumwapisha kuwa Jaji wa Mahakama kuu   Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza  Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya Dkt. Adelardus Kilangi  akiongea machache baada ya kumwapisha   Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018 .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Naibu  Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya Mhe. Paul Joel Ngwembe akiongea machache baada ya kumwapisha   Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018 .

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mhe. Gerson J. Mdemu baada ya kumuapisha kuwa Jaji wa Mahakama Kuu  Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018. Kushoto ni  Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya Dkt. Adelardus Kilangi  na kulia ni  Jaji wa Mahakama kuu  Mhe. George Mcheche Masaju    Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018.


  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mama Samia suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, waziri wa katiba na sheria Profesa Palamagamba Kabudi,  Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika picha ya kumbukumbu na walioapishwa  ma-Jaji wa Mahakama kuu  Mhe. George Mcheche Masaju na Mhe. Gerson J. Mdemu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya Dkt. Adelardus Kilangi na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Paul Joel Ngwembe baada ya kuwaapisha  Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018.


Hivyo makala RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MWANASHERIA MKUU, NAIBU WAKE NA MAJAJI WAWILI LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

yaani makala yote RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MWANASHERIA MKUU, NAIBU WAKE NA MAJAJI WAWILI LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MWANASHERIA MKUU, NAIBU WAKE NA MAJAJI WAWILI LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/rais-magufuli-awaapisha-mwanasheria_3.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MWANASHERIA MKUU, NAIBU WAKE NA MAJAJI WAWILI LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM."

Post a Comment