NEWS ALERT: UTEUZI WA DIWANI WA VITI MAALUM - CHADEMA

NEWS ALERT: UTEUZI WA DIWANI WA VITI MAALUM - CHADEMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWS ALERT: UTEUZI WA DIWANI WA VITI MAALUM - CHADEMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWS ALERT: UTEUZI WA DIWANI WA VITI MAALUM - CHADEMA
kiungo : NEWS ALERT: UTEUZI WA DIWANI WA VITI MAALUM - CHADEMA

soma pia


NEWS ALERT: UTEUZI WA DIWANI WA VITI MAALUM - CHADEMA

  Kwa kuzingatia matakwa ya kifungu cha 86A cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292, Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Kikao chake cha tarehe 23 Februari, 2018, imemteua Ndugu JANE JAPHALY JOJO kuwa Diwani wa Viti Maalum katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
            Uteuzi huu umefanyika baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa ambaye kwa mujibu wa kifungu cha 13 (1) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292, aliitaarifu Tume ya Taifa ya Uchaguzi uwepo wa nafasi hiyo wazi baada ya kifo cha aliyekuwa Diwani wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ndugu Ester L. Mpwiza.
Tume baada ya kupokea Taarifa hiyo, ilikifahamisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambacho kiliwasilisha jina la anayependekezwa kuteuliwa kuwa Diwani wa Viti Maalum kutoka katika orodha ya majina yaliyowasilishwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi mwaka 2015.
Imetolewa leo Jumatatu, tarehe 26 Februari, 2018 na: 
Kailima, R. K
MKURUGENZI WA UCHAGUZI


Hivyo makala NEWS ALERT: UTEUZI WA DIWANI WA VITI MAALUM - CHADEMA

yaani makala yote NEWS ALERT: UTEUZI WA DIWANI WA VITI MAALUM - CHADEMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWS ALERT: UTEUZI WA DIWANI WA VITI MAALUM - CHADEMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/news-alert-uteuzi-wa-diwani-wa-viti.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEWS ALERT: UTEUZI WA DIWANI WA VITI MAALUM - CHADEMA"

Post a Comment