Ndalichako,Masauni watoa mkono wa pole kwa wafiwa kifo cha Mwanafunzi aliyepigwa risasi

Ndalichako,Masauni watoa mkono wa pole kwa wafiwa kifo cha Mwanafunzi aliyepigwa risasi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ndalichako,Masauni watoa mkono wa pole kwa wafiwa kifo cha Mwanafunzi aliyepigwa risasi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ndalichako,Masauni watoa mkono wa pole kwa wafiwa kifo cha Mwanafunzi aliyepigwa risasi
kiungo : Ndalichako,Masauni watoa mkono wa pole kwa wafiwa kifo cha Mwanafunzi aliyepigwa risasi

soma pia


Ndalichako,Masauni watoa mkono wa pole kwa wafiwa kifo cha Mwanafunzi aliyepigwa risasi

  Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof Joyce Ndalichako pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ,Injinia Hamad Masauni  wakimfariji Mama Mzazi wa marehemu  Aqwilina jioni ya leo Mbezi Kimara jijini Dar,Mwanafunzi  huyo wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT) amepoteza maisha baada ya kupigwa risasi Februari 16 mwaka huu eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam wakati Polisi walipokuwa wakizuiya maandamano ya chama cha CHADEMA.Kufuatia kifo cha Mwanafunzi huyo Serikali imesema itabeba jukumu la Mazishi yake.

Aidha Rais Dkt John Pombe Magufuli  amesema amesikitishwa sana na kifo cha mwanafunzi huyo,Aqwilina Akwilini wa Chuo cha Usafirishaji (NIT)."Natoa pole kwa familia,ndugu,wanafunzi wa NIT na wote walioguswa na msiba huu.Nimeviagiza vyombo vya dola kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua za kisheria waliosababisha tukio hili",Ilisema sehemu ya taarifa yake iliyotolewa mapema leo.
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof Joyce Ndalichako (tatu kulia) akiwafariji Mama Mzazi wa marehemu  Aqwilina pamoja na ndugu jioni ya leo Mbezi Kimara jijini Dar,Mwanafunzi  huyo wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT) amepoteza maisha baada ya kupigwa risasi Februari 16 mwaka huu eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam wakati Polisi walipokuwa wakizuiya maandamano ya chama cha CHADEMA.
 Mama wa Marehemu Akwiline akilia kwa uchungu mara baada ya kuona viongozi wa Waandamizi wa serikali walipofika nyumbani kwake,Mbezi Kimara jioni ya leo kwa lengo la kutoa pole na kufahamu taratibu mbalimbali za msiba huo.


Hivyo makala Ndalichako,Masauni watoa mkono wa pole kwa wafiwa kifo cha Mwanafunzi aliyepigwa risasi

yaani makala yote Ndalichako,Masauni watoa mkono wa pole kwa wafiwa kifo cha Mwanafunzi aliyepigwa risasi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ndalichako,Masauni watoa mkono wa pole kwa wafiwa kifo cha Mwanafunzi aliyepigwa risasi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/ndalichakomasauni-watoa-mkono-wa-pole.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Ndalichako,Masauni watoa mkono wa pole kwa wafiwa kifo cha Mwanafunzi aliyepigwa risasi"

Post a Comment