NAIBU WAZIRI DK. NDUGULILE AZINDUA BARAZA LA WATOTO MKOA WA SHINYANGA,AKABIDHI OFISI,KOMPYUTA

NAIBU WAZIRI DK. NDUGULILE AZINDUA BARAZA LA WATOTO MKOA WA SHINYANGA,AKABIDHI OFISI,KOMPYUTA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI DK. NDUGULILE AZINDUA BARAZA LA WATOTO MKOA WA SHINYANGA,AKABIDHI OFISI,KOMPYUTA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI DK. NDUGULILE AZINDUA BARAZA LA WATOTO MKOA WA SHINYANGA,AKABIDHI OFISI,KOMPYUTA
kiungo : NAIBU WAZIRI DK. NDUGULILE AZINDUA BARAZA LA WATOTO MKOA WA SHINYANGA,AKABIDHI OFISI,KOMPYUTA

soma pia


NAIBU WAZIRI DK. NDUGULILE AZINDUA BARAZA LA WATOTO MKOA WA SHINYANGA,AKABIDHI OFISI,KOMPYUTA

Baraza hilo lenye wajumbe 12 likiwa na mwenyekiti,makamu mwenyekiti,katibu na mweka hazina na wajumbe sita mmoja kutoka kila halmashauri na watoto wawili wanaowakilisha watoto wenye ulemavu. 

Akizungumza wakati wa kuzindua baraza hilo, mjini Shinyanga, Dk. Ndugulile aliupongeza uongozi wa mkoa wa Shinyanga na kuutaka kuendelea kulea baraza hilo na mikoa mingine kuanzisha mabaraza ya watoto. 

“Wizara inaunga mkono kuanzishwa kwa baraza hili na tumetoa kompyuta moja itakayotumika kwa kazi za baraza,tunapenda kuona haki za watoto zinalindwa na ni wajibu wa kila mmoja kuwalinda watoto ili kuhakikisha haki zao hazivunjwi”,alieleza. 

“Naomba wajumbe wa baraza hili muwe mabalozi wa watoto wengine,heshimuni wazazi na walezi,nendeni shule na mjijenge katika maadili na tabia njema,msikae kimya, mpoona haki zenu zinavunjwa toeni taarifa,serikali ipo tuna sheria za kuwalinda”,aliongeza Dk. Ndugulile. 
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dk. Faustine Ndugulile leo Jumatatu Februari 19,2018 amezindua Baraza la Watoto Mkoa wa Shinyanga na kukabidhi rasmi ofisi na kompyuta kwa ajili ya baraza hilo. 
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dk. Faustine Ndugulile akizungumza wakati wa kuzindua Baraza la Watoto mkoa wa Shinyanga leo Jumatatu Februari 19,2018 katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga.Kushoto ni ni Kamishina wa Ustawi wa Jamii Dk. Naftali Ngo'ndi ,kulia ni Katibu Tawala mkoa wa Shinyanga Albert Msovela - Picha zote na Kadama Malunde - Malunde1 blog 
Wawakilishi wa watoto wanaounda baraza la watoto mkoa wa Shinyanga wakimsilikiza Dk. Faustine Ndugulile. 
Dk. Faustine Ndugulile akizungumza wakati wa uzinduzi wa baraza la watoto mkoa wa Shinyanga.Wa kwanza kulia aliyeinama ni Mganga Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Rashid Mfaume. 



Hivyo makala NAIBU WAZIRI DK. NDUGULILE AZINDUA BARAZA LA WATOTO MKOA WA SHINYANGA,AKABIDHI OFISI,KOMPYUTA

yaani makala yote NAIBU WAZIRI DK. NDUGULILE AZINDUA BARAZA LA WATOTO MKOA WA SHINYANGA,AKABIDHI OFISI,KOMPYUTA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI DK. NDUGULILE AZINDUA BARAZA LA WATOTO MKOA WA SHINYANGA,AKABIDHI OFISI,KOMPYUTA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/naibu-waziri-dk-ndugulile-azindua.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NAIBU WAZIRI DK. NDUGULILE AZINDUA BARAZA LA WATOTO MKOA WA SHINYANGA,AKABIDHI OFISI,KOMPYUTA"

Post a Comment