MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI,MASONGA WAHUKUMIWA MIEZI 5 JELA KWA KOSA LA UCHOCHEZI

MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI,MASONGA WAHUKUMIWA MIEZI 5 JELA KWA KOSA LA UCHOCHEZI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI,MASONGA WAHUKUMIWA MIEZI 5 JELA KWA KOSA LA UCHOCHEZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI,MASONGA WAHUKUMIWA MIEZI 5 JELA KWA KOSA LA UCHOCHEZI
kiungo : MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI,MASONGA WAHUKUMIWA MIEZI 5 JELA KWA KOSA LA UCHOCHEZI

soma pia


MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI,MASONGA WAHUKUMIWA MIEZI 5 JELA KWA KOSA LA UCHOCHEZI


Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga wamehukumiwa kifungo cha miezi mitano jela kila mmoja baada ya kukutwa na hatia kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli.

Hukumu hiyo imetolewa leo Feb. 26, 2018 na hakimu wa mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, Maiko Mteite baada ya kuridhika ushahidi uliotolewa upande wa mashtaka.

Pia mahakama hiyo imemuhukumu kifungo cha miezi sita katibu wa chadema kanda ya nyanda za juu kusini Emmanuel Masonga kwa kosa hilo.

Washtakiwa hao wanatajwa kutenda kosa la kutoa maneno ya kumfedhehesha rais Disemba 31, 2017 katika viwanja vya Luanda Nzovwe wakati wakizungumza na wananchi.



Hivyo makala MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI,MASONGA WAHUKUMIWA MIEZI 5 JELA KWA KOSA LA UCHOCHEZI

yaani makala yote MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI,MASONGA WAHUKUMIWA MIEZI 5 JELA KWA KOSA LA UCHOCHEZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI,MASONGA WAHUKUMIWA MIEZI 5 JELA KWA KOSA LA UCHOCHEZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/mbunge-wa-mbeya-mjini-joseph.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI,MASONGA WAHUKUMIWA MIEZI 5 JELA KWA KOSA LA UCHOCHEZI"

Post a Comment