title : Matukio : Kaimu Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje Akutana kwa Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Afrika kutoka Canada
kiungo : Matukio : Kaimu Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje Akutana kwa Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Afrika kutoka Canada
Matukio : Kaimu Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje Akutana kwa Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Afrika kutoka Canada
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan M. Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kusini na Mashariki mwa Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Canada, Bw. Marc-André Fredelte. Katika mazungumzo yao walijadili masuala ya ushirikiano katika masuala ya diplomasia, biashara na maendeleo. Bw. Fredelte yupo nchini kwa ziara ya kikazi.
Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ukifuatilia mazungumzo kati ya Balozi Mwinyi na Bw. Fredelte (hayupo pichani). Kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika, Bw. Salvator Mbilinyi, Bw. Mustafa M. Ussi, Afisa Mambo ya Nje na Bi. Lilian Kimaro, Afisa Mambo ya Nje
Mazungumzo yakiendelea
Balozi Mwinyi akiagana na Bw. Fredelte baada ya kumaliza mazungumzo yao
Picha ya pamoja
Hivyo makala Matukio : Kaimu Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje Akutana kwa Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Afrika kutoka Canada
yaani makala yote Matukio : Kaimu Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje Akutana kwa Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Afrika kutoka Canada Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Kaimu Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje Akutana kwa Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Afrika kutoka Canada mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/matukio-kaimu-katibu-mkuu-wa-mambo-ya.html
0 Response to "Matukio : Kaimu Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje Akutana kwa Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Afrika kutoka Canada"
Post a Comment