MASAUNI AONGOZA KIKAO BARAZA LA TAIFA USALAMA BARABARANI KUJADILI UPUNGUZAJI WA AJALI

MASAUNI AONGOZA KIKAO BARAZA LA TAIFA USALAMA BARABARANI KUJADILI UPUNGUZAJI WA AJALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MASAUNI AONGOZA KIKAO BARAZA LA TAIFA USALAMA BARABARANI KUJADILI UPUNGUZAJI WA AJALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MASAUNI AONGOZA KIKAO BARAZA LA TAIFA USALAMA BARABARANI KUJADILI UPUNGUZAJI WA AJALI
kiungo : MASAUNI AONGOZA KIKAO BARAZA LA TAIFA USALAMA BARABARANI KUJADILI UPUNGUZAJI WA AJALI

soma pia


MASAUNI AONGOZA KIKAO BARAZA LA TAIFA USALAMA BARABARANI KUJADILI UPUNGUZAJI WA AJALI

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati wa kikao cha kujadili mikakati ya kupunguza tatizo la ajali za barabarani.Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.

Katibu wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Fortunatus Musilimu (kulia meza kuu), akizungumza wakati wa kikao cha kujadili mikakati ya kupunguza tatizo la ajali za barabarani.Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.
Mjumbe kutoka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Geoffrey Silanda, akichangia hoja wakati wa wakati wa kikao cha kujadili mikakati ya kupunguza tatizo la ajali za barabarani.Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.Wengine ni Mwakilishi kutoka Wizara ya Elimu, Hidaya Mohamed na Mwakilishi kutoka Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania(TABOA), Elimboto Mtatulu (kushoto).
Wajumbe wa kikao kinachojadili mikakati ya kupunguza tatizo la ajali za barabarani kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani), wakishiriki kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.

Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


Hivyo makala MASAUNI AONGOZA KIKAO BARAZA LA TAIFA USALAMA BARABARANI KUJADILI UPUNGUZAJI WA AJALI

yaani makala yote MASAUNI AONGOZA KIKAO BARAZA LA TAIFA USALAMA BARABARANI KUJADILI UPUNGUZAJI WA AJALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MASAUNI AONGOZA KIKAO BARAZA LA TAIFA USALAMA BARABARANI KUJADILI UPUNGUZAJI WA AJALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/masauni-aongoza-kikao-baraza-la-taifa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MASAUNI AONGOZA KIKAO BARAZA LA TAIFA USALAMA BARABARANI KUJADILI UPUNGUZAJI WA AJALI"

Post a Comment