title : KUMBILAMOTO AKABIDHI KIFAA CHA KUPIMIA PUMU ZAHANATI YA VINGUNGUTI
kiungo : KUMBILAMOTO AKABIDHI KIFAA CHA KUPIMIA PUMU ZAHANATI YA VINGUNGUTI
KUMBILAMOTO AKABIDHI KIFAA CHA KUPIMIA PUMU ZAHANATI YA VINGUNGUTI
Naibu Meya Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamaoto akikabidhi kifaa cha kupimia Pumu kwa Afisa Habari wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, kwa ajili ya Zahanati ya Vingunguti.
Naibu Meya Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamaoto akikabidhi Vifaa vya Kujifungulia wajawazito kwa Afisa Habari wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, kwa ajili ya Zahanati ya Vingunguti.
Naibu Meya Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamaoto akizungumza kabla ya kukabidhi kifaa cha kupimia pumu kwa watoto na watu wazima na Vifaa vya Kujifungulia katika Zahanati ya Vingunguti , ambayo Wanawake hufika hapo bila ya kuwa na Vifaa vya kujifungilia, hivyo vitaweza kuwasaidia wale ambao hawatakuwa na uwezo.
Naibu Meya Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamaoto na Afisa Habari wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, wakikabidhi Mbuzi kwa ajili ya Madkatari na wauguzi wa Zahanati ya Vingunguti.
Hivyo makala KUMBILAMOTO AKABIDHI KIFAA CHA KUPIMIA PUMU ZAHANATI YA VINGUNGUTI
yaani makala yote KUMBILAMOTO AKABIDHI KIFAA CHA KUPIMIA PUMU ZAHANATI YA VINGUNGUTI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMBILAMOTO AKABIDHI KIFAA CHA KUPIMIA PUMU ZAHANATI YA VINGUNGUTI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/kumbilamoto-akabidhi-kifaa-cha-kupimia.html
0 Response to "KUMBILAMOTO AKABIDHI KIFAA CHA KUPIMIA PUMU ZAHANATI YA VINGUNGUTI"
Post a Comment