IGP SIRRO AWATAKA ASKARI KUTENDA HAKI KWA WANANCHI WANAOWAHUDUMIA BARIADI, SIMIYU

IGP SIRRO AWATAKA ASKARI KUTENDA HAKI KWA WANANCHI WANAOWAHUDUMIA BARIADI, SIMIYU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AWATAKA ASKARI KUTENDA HAKI KWA WANANCHI WANAOWAHUDUMIA BARIADI, SIMIYU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AWATAKA ASKARI KUTENDA HAKI KWA WANANCHI WANAOWAHUDUMIA BARIADI, SIMIYU
kiungo : IGP SIRRO AWATAKA ASKARI KUTENDA HAKI KWA WANANCHI WANAOWAHUDUMIA BARIADI, SIMIYU

soma pia


IGP SIRRO AWATAKA ASKARI KUTENDA HAKI KWA WANANCHI WANAOWAHUDUMIA BARIADI, SIMIYU

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (wapili kushoto), akikagua baadhi ya vielelezo katika kituo Kikuu cha Polisi wilaya ya Bunda mkoani Mara wakati akiwa katika ziara ya kikazi ya kuzungumza na maofisa na askari mkoani humo, IGP Sirro amewataka askari kufanyakazi kwa weledi na kuzingatia maadili ya kazi pamoja na kutenda haki kwa wananchi wanaowahudumia. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima kutoka kwa askari wa kikosi maalum cha Jeshi hilo wakati alipowasili Bariadi mkoani Simiyu kwa ziara ya kikazi IGP Sirro pia aliwataka askari kutojihusisha na vitendo vya rushwa na kuhakikisha wanatenda haki kwa wananchi wanaowahudumia. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akiweka saini kwenye kitabu cha wageni wakati alipowasili katika Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Simiyu kwa lengo la kuzungumza na wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo (hawapo pichani), kulia ni Mkuu wa mkoa huo Mhe. Antony Mtaka. Picha na Jeshi la Polisi.


Hivyo makala IGP SIRRO AWATAKA ASKARI KUTENDA HAKI KWA WANANCHI WANAOWAHUDUMIA BARIADI, SIMIYU

yaani makala yote IGP SIRRO AWATAKA ASKARI KUTENDA HAKI KWA WANANCHI WANAOWAHUDUMIA BARIADI, SIMIYU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AWATAKA ASKARI KUTENDA HAKI KWA WANANCHI WANAOWAHUDUMIA BARIADI, SIMIYU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/igp-sirro-awataka-askari-kutenda-haki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO AWATAKA ASKARI KUTENDA HAKI KWA WANANCHI WANAOWAHUDUMIA BARIADI, SIMIYU"

Post a Comment