title : IGP SIRO MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA WAMILIKI WA MBWA
kiungo : IGP SIRO MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA WAMILIKI WA MBWA
IGP SIRO MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA WAMILIKI WA MBWA
Mkurugenzi wa Kampuni ya Tanzania Canine Association Ltd (TCAL) Sinare Sinare, akizungumz na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo, leo wakati akitangaza uzinduzi rasmi wa Chama cha Wamiliki wa Mbwa utakaofanyika katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni siku ya jumamosi,Januri 3,2018. Mgeni rasmi katika uzinduzi huo atakuwa Inspector General wa Polisi (IGP) Simon Siro. Kushoto kwake ni Wajumbe wa Kamati ya uzinduzi huo, Felicia Bulu na Deo Rweyunga. (kushoto) ni Kamanda wa Polisi Kikosi cha Mbwa na Farasi, Dkt. Egyne Emmanuel. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO).
Mkutano ukiendela.
Hivyo makala IGP SIRO MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA WAMILIKI WA MBWA
yaani makala yote IGP SIRO MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA WAMILIKI WA MBWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRO MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA WAMILIKI WA MBWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/igp-siro-mgeni-rasmi-uzinduzi-wa-chama.html
0 Response to "IGP SIRO MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA WAMILIKI WA MBWA"
Post a Comment