HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA

HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA
kiungo : HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA

soma pia


HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA

 Wafanyakazi wa kiwanda cha kubangua korosho cha Korosho Africa Ltd. kilichopo katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wakiwa kazini. Wakazi zaidi  750 kutoka katika wilaya hiyo wamepata ajira katika kiwanda hicho kinachotajwa kama mkombozi mkubwa wa umaskini kwa wilaya ya Tunduru.
 Wafanyakazi wa kiwanda cha kubangua korosho cha Korosho Africa Ltd. kilichopo katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wakiendelea na kazi.
 Daraja  linalojengwa na serikali chini ya wakala wa ujenzi mjini na vijijini Tarura wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma kwa gharama ya shilingi bilioni 115.804 lenye urefu wa mita 45 katika mto  Nanyungu lililopo  kijiji cha Fundimbanga kama linavyoonekana ambapo  litakapokamilika litasaidia kurudisha mawasiano ya uhakika kati ya wakazi wa kijiji hicho na maeneo mengine ya  wilaya ya Tunduru. Picha na Muhidin Amri.


Hivyo makala HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA

yaani makala yote HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/habari-picha-toka-wilayani-tunduru-mkoa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA"

Post a Comment