GSM YAMPATA MSHINDI WA KWENDA HONG KONG

GSM YAMPATA MSHINDI WA KWENDA HONG KONG - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa GSM YAMPATA MSHINDI WA KWENDA HONG KONG, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : GSM YAMPATA MSHINDI WA KWENDA HONG KONG
kiungo : GSM YAMPATA MSHINDI WA KWENDA HONG KONG

soma pia


GSM YAMPATA MSHINDI WA KWENDA HONG KONG

Meneja Masoko wa GSM Farida  Rubanza akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mshindi wa shidano la Disney ,Consolata Mlebusi mkazi wa Mbezi Beach  ambapo ataenda mapumziko.
Mwakilishi wa wateja aliyezungusha gurudumu hilo na kuokota ticket ya mshindi Edward Laurent Kapwapwa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupatika mshindi wa shindano hilo.

Mshindi wa shidano la Disney lililokuwa linaendeshwa na kampuni ya Maduka ya GSM leo limefikia mwisho baada ya leo kuchezeshwa droo na kupata mshindi ambaye ataenda mapumziko huko Hong Kong.

Akizungumza wakati wa uchezeshaji shidano hilo Meneja Masoko wa GSM Farida  Rubanza amemtangaza mshindi wa shidano hilo kwa ni Consolata Mlebusi mkazi wa Mbezi Beach , mshindi huyo  amepatikana baada ya ticket yake kuokotwa baada ya kuzungushwa kwa gurudumu lenye Mamia ya ticket.

Aidha amewataka wateja wa maduka ya GSM kuendelea kutumia huduma zao kwa kuwa zina ubora .
Kwaupande wake  Mwakilishi wa wateja aliyezungusha gurudumu hilo na kuokota ticket ya mshindi Edward Laurent Kapwapwa, ameishukuru kampuni ya GSM kwa kuendesha shindano hilo kwa uwazi.

"Mimi nimekuja kununua vitu hapa dukani nimetoka Mtwara nimekuja hapa Dar es Salaam kwa kazi zangu nimeitwa tu na wameniomba  niokote ticket, kwanza huyu mshindi hata simfahamu, kwakweli nimeona shindano hili ni la haki na kweli  nawaomba watu wote na wateja wa GSM  kuendelea  kutumia bidhaa zao hata mimi hapa nimekuja kununua bidhaa zao" Alisema

Mshindi huyo atawasili muda wowote kufahamishwa taratibu za safari yake  amabapo kwa mujibu GSG anatakiwa kusafiri yeye na familia yake jumla wawe wanne, shindano hilo limedumu kwa muda wa miezi miwili Lilianza December 2017 hadi February 4,na leo kuchezeshwa droo.


Hivyo makala GSM YAMPATA MSHINDI WA KWENDA HONG KONG

yaani makala yote GSM YAMPATA MSHINDI WA KWENDA HONG KONG Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala GSM YAMPATA MSHINDI WA KWENDA HONG KONG mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/gsm-yampata-mshindi-wa-kwenda-hong-kong.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "GSM YAMPATA MSHINDI WA KWENDA HONG KONG"

Post a Comment