Diamond Platnumz, Hamisa waendelea kusota Mahakamani

Diamond Platnumz, Hamisa waendelea kusota Mahakamani - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Diamond Platnumz, Hamisa waendelea kusota Mahakamani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Diamond Platnumz, Hamisa waendelea kusota Mahakamani
kiungo : Diamond Platnumz, Hamisa waendelea kusota Mahakamani

soma pia


Diamond Platnumz, Hamisa waendelea kusota Mahakamani



Nyota wa muziki wa Bongo fleva na Rais wa WCB, Diamond Platnumz na Mwanamitindo Hamisa Mobetto wamerudi tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kuweka rekodi baada ya usuluhishi wao kuhusu matunzo ya mtoto wao.

Diamond na Mobetto wamefika Mahakamani hapo, ikiwa ni wiki moja baada ya kufika na kusuluhishwa.

Hamisa Mobetto akizungumza nje ya Mahakama  amesema; “Maamuzi nimeridhika nayo na tumekubaliana kuhusu matunzo ya mtoto, Pande zote mbili tulikaa na kukubaliana, nashukuru kila mtu tumekubaliana na tumeridhika, hivyo yamekwisha.”

Naye Diamond Platnumz amesema mara ya mwisho ilikuwa ni usuluhishi haikuwa Kesi na leo tumeweka rekodi sawa ili kutunza kumbukumbu na kuweka vitu sawa ili yasije kuzushwa mengine ya uongo na kweli.

“Hivyo tutaangalia jinsi ya kumtunza mtoto wetu ikiwezekana tunategemea baadaye anaweza kuwa kiongozi fulani. Nawashauri wababa kwamba wazazi wakike na kiume wajitahidi kuweka majivuno pembeni bila kumuathiri mtoto. Hivyo lazima kuweka majivuno pembeni kwani mwisho wa siku anayeathirika ni mtoto.” Diamond Platnumz


Hivyo makala Diamond Platnumz, Hamisa waendelea kusota Mahakamani

yaani makala yote Diamond Platnumz, Hamisa waendelea kusota Mahakamani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Diamond Platnumz, Hamisa waendelea kusota Mahakamani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/diamond-platnumz-hamisa-waendelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Diamond Platnumz, Hamisa waendelea kusota Mahakamani"

Post a Comment