daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika

daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika
kiungo : daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika

soma pia


daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika

Hali ya "Sanda Mkobani" ilivyokuwa wakati wa kuvuka mto Kilombero mkoani Morogoro kabla ya ujenzi wa daraja.
Ujenzi wa Daraja la Mto Kilombero uliopangwa kukamilika mwezi Februari 2017, sasa umekamilika kwa 100% na liko tayari kuzinduliwa.  Daraja hilo linalounganisha wilaya mbili za mkoa wa Morogoro (Ulanga na Kilombero) pamoja na Mkoa wa Ruvuma, litaokoa maisha ya wananchi wa wilaya hizo ambao katika kipindi chote cha mwaka walikuwa wakipata shida kuvuka mto huo huku shughuli za usafirishaji wa mazao ya mpunga, ufuta, mahindi, ufugaji na madini zitarahisishwa,  kuongeza pato na kukuza uchumi wa Taifa.Pia kukamilika kwa daraja la Mto Kilombero kutarahisisha usafiri kutoka Dar kwenda Songea – Ruvuma ambapo ni mbali mfupi sana kwa kupitia Mikumi-Ifakara-Mahenge mpaka Songea kuliko kupitia Iringa-Njombe mpaka Songea.


Hivyo makala daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika

yaani makala yote daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/daraja-la-kilombero-mkoani-morogoro.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika"

Post a Comment