title : BENKI YA TPB,SATF ZAUNGANA KUENDESHA MRADI WA DOLA MILIONI MOJA
kiungo : BENKI YA TPB,SATF ZAUNGANA KUENDESHA MRADI WA DOLA MILIONI MOJA
BENKI YA TPB,SATF ZAUNGANA KUENDESHA MRADI WA DOLA MILIONI MOJA
BENKI ya TPB imeungana na taasisi ya Savings at the Frontier (SatF), kwenye mradi utakaogharimu kiasi cha dola Milioni Moja.
Mradi huo unaoitwa “Digitalizing Informal Savings Mechanisms” utaendeshwa kwa kipindi cha miaka mitatu (3) ambapo TPB inatarajia kuwaunganisha kwenye mfumo rasmi wa kifedha wateja wapya laki Mbili na nusu hadi kufikia mwaka 2020, Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB Bank, Bw. Sabasaba Moshingi amewaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Februari 16, 2018.
Kitangaza mradi huo mbele ya waandisahi wa habari, Bw. Moshingi alisema, mradi huo utaanzia Mkoa wa Ruvuma, na baadae kupelekwa Mikoa ya Mtwara, Lindi, Njombe, Iringa na Morogoro.
“Watanzania wengi waishio kwenye mikoa ya pembezoni, hususani wenye vipato vidogo wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa huduma za kifedha. Kupitia ushirikiano huu na SatF, TPB itawawezesha wananchi kupitia makundi au mtu mmoja mmoja, kujiwekea akiba kupitia teknolojia rahisi na salama isiyowalazimu kwenda kwenye tawi la benki ili kupata huduma hizo za kifedha. Njia hii itawawezesha wananchi kutatua changamoto zao mbalimbali za kifedha na pia kuwaingiza kwenye mfumo rasmi wa kiuchumi.
Akifafanua zaidi Bw. Moshingi alisema, Benki ya TPB ni benki ya kwanza hapa nchini kuanzisha utoaji wa huduma za kibenki kwa makundi kupitia simu za mkononi, maarufu TPB POPOTE. Hivi sasa, wateja kupitia vikundi vyao wanaweza kuweka akiba na hata kukopa kupitia simu zao za mkononi.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

Hivyo makala BENKI YA TPB,SATF ZAUNGANA KUENDESHA MRADI WA DOLA MILIONI MOJA
yaani makala yote BENKI YA TPB,SATF ZAUNGANA KUENDESHA MRADI WA DOLA MILIONI MOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA TPB,SATF ZAUNGANA KUENDESHA MRADI WA DOLA MILIONI MOJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/benki-ya-tpbsatf-zaungana-kuendesha.html
0 Response to "BENKI YA TPB,SATF ZAUNGANA KUENDESHA MRADI WA DOLA MILIONI MOJA"
Post a Comment