ZAIDI YA WALEMAVU IO8 WALIOMKIMBILIA KWA RC MAKONDA WANEEMEKA

ZAIDI YA WALEMAVU IO8 WALIOMKIMBILIA KWA RC MAKONDA WANEEMEKA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZAIDI YA WALEMAVU IO8 WALIOMKIMBILIA KWA RC MAKONDA WANEEMEKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZAIDI YA WALEMAVU IO8 WALIOMKIMBILIA KWA RC MAKONDA WANEEMEKA
kiungo : ZAIDI YA WALEMAVU IO8 WALIOMKIMBILIA KWA RC MAKONDA WANEEMEKA

soma pia


ZAIDI YA WALEMAVU IO8 WALIOMKIMBILIA KWA RC MAKONDA WANEEMEKA

Zoezi la ugawaji wa Miguu ya kisasa ya bandia kwa watu wenye ulemavu wa Miguu awamu ya pili limeanza jana, ikiwa ni Kampeni iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ya kuwapatia Miguu ya kisasa inayowawezesha kufanya shughuli za uzalishaji Mali Kama awali ambapo imejidhihirisha kuwa RC Makonda akiahidi jambo analitimiza kwa vitendo na sio Siasa.

Katika awamu ya pili iliyoanza jana zaidi ya Walemavu 108 wamepatiwa Miguu ya kisasa ya Bandia ambayo inakadiriwa Mguu mmoja unagharimu kiasi cha shilling million 2 hadi 3 ambapo yote kwa pamoja ni Shilling Million 324,000,000 lakini kwa jitiada za RC Makonda wamepatiwa Miguu hiyo Bure.

Katika awamu ya Kwanza jumla ya Wagonjwa 35 wa kisukari walipatiwa miguu ya kisasa ya bandia yenye thamani ya Shilling million 157 kutoka CCBRT na kufanya jumla ya walemavu waliopatiwa miguu hiyo kufikia 143 yenye thamani ya Million 481 Bure.

Baadhi ya Walemavu waliopatiwa Miguu hiyo wamemshukuru RC Makonda kwa moyo wa pekee wa kuwajali wananchi wake kwa kuzingatia makundi yote kwenye jamii ambapo wamesema kwa sasa wataenda kufanya kazi na kuachana na utegemezi.

Aidha wameishukuru kampuni ya Kamal Group kwa kumuunga mkono RC Makonda kutimiza maono yake ya kuwawezesha walemavu kupata miguu ya kisasa inayowawezesha kufanya shughuli za kujiingizia kipato.
 Baadhi ya Walemavu 108 wamepatiwa Miguu ya kisasa ya Bandia ambayo inakadiriwa kuwa Mguu mmoja unagharimu kiasi cha shilling million 2 hadi 3 ambapo yote kwa pamoja ni Shilling Million 324,000,000 lakini kwa jitihada za RC Makonda wamepatiwa Miguu hiyo Bure.
 Iliuwa ni furaha kwa Walemavu hao kupatiwa miguu ya bandia bure
  Miguu ya kisasa ya Bandia ikiwa tayari kugaiwa kwa walengwa



Hivyo makala ZAIDI YA WALEMAVU IO8 WALIOMKIMBILIA KWA RC MAKONDA WANEEMEKA

yaani makala yote ZAIDI YA WALEMAVU IO8 WALIOMKIMBILIA KWA RC MAKONDA WANEEMEKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZAIDI YA WALEMAVU IO8 WALIOMKIMBILIA KWA RC MAKONDA WANEEMEKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/zaidi-ya-walemavu-io8-waliomkimbilia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZAIDI YA WALEMAVU IO8 WALIOMKIMBILIA KWA RC MAKONDA WANEEMEKA"

Post a Comment