title : YAWALIMWENGU:MGANGA WA KIENYEJI AJIUA BAADA YA KUKOSA WATEJA
kiungo : YAWALIMWENGU:MGANGA WA KIENYEJI AJIUA BAADA YA KUKOSA WATEJA
YAWALIMWENGU:MGANGA WA KIENYEJI AJIUA BAADA YA KUKOSA WATEJA
Wakazi wa eneo la Maili Saba katika Jimbo la Trans Nzoia wamepigwa na butwaa baada ya mganga Joshua Shalongo kujiua kwa sababu ya kukosa wateja na hali ngumu ya maisha.
Shalongo ambaye ni mganga maarufu katika eneo la Kitale nchini Kenya inasemekana suala la kukosa wateja lilimtatiza sana kiasi cha kuchukua uamuzi wa kujiua.
Mwili wake umepatikana ukining’inia kwenye paa la nyumba ukiwa umefungwa kamba taarifa hii imeripotiwa katika jarida la Citizen’s Edaily.
Chief wa eneo hilo Esther Waswa amethibitisha tukio la mganga huyo kujiua.
Hivyo makala YAWALIMWENGU:MGANGA WA KIENYEJI AJIUA BAADA YA KUKOSA WATEJA
yaani makala yote YAWALIMWENGU:MGANGA WA KIENYEJI AJIUA BAADA YA KUKOSA WATEJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YAWALIMWENGU:MGANGA WA KIENYEJI AJIUA BAADA YA KUKOSA WATEJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/yawalimwengumganga-wa-kienyeji-ajiua.html
0 Response to "YAWALIMWENGU:MGANGA WA KIENYEJI AJIUA BAADA YA KUKOSA WATEJA"
Post a Comment