title : YANGA NI TIMU NZURI, TUTAINGIA KWA UMAKINI MKUBWA- KOCHA AZAM
kiungo : YANGA NI TIMU NZURI, TUTAINGIA KWA UMAKINI MKUBWA- KOCHA AZAM
YANGA NI TIMU NZURI, TUTAINGIA KWA UMAKINI MKUBWA- KOCHA AZAM
Azam FC watakuwa wenyeji wa Yanga SC Jumamosi wiki hii Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam wakitoka kushinda 2-0 ugenini dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya Jumapili.
Cioaba amesema Yanga ni moja ya timu kubwa nchini ikitoka kutwaa ubingwa wa ligi msimu uliopita na kudai kuwa wataingia uwanjani na kuonyesha uwezo mkubwa.
“Mechi itakuwa Chamazi, hautakuwa mchezo mwepesi nitakuwa na muda wa siku tatu wa maandalizi kwa kuwa nina safari ndefu sana na wachezaji wanauchovu kidogo lakini siku hizo tatu nitawaunganisha vema wachezaji na kujaribukufanya vizuri dhidi ya Yanga Chamazi, sihitaji kupoteza mchezo wowote hapo baadaye,”amesema.
Hadi sasa ikiwa imecheza mechi 14 za ligi, Azam FC imefanikiwa kuwa rekodi bora baada ya kutopoteza mchezo hata mmoja, ikiwa imeshinda mechi nane na sare sita ikiwa kileleni kwa pointi zake 30 ikiizidi mechi moja Simba ambayo ipo nafasi ya pili ikijikusanyia 29.
Hivyo makala YANGA NI TIMU NZURI, TUTAINGIA KWA UMAKINI MKUBWA- KOCHA AZAM
yaani makala yote YANGA NI TIMU NZURI, TUTAINGIA KWA UMAKINI MKUBWA- KOCHA AZAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YANGA NI TIMU NZURI, TUTAINGIA KWA UMAKINI MKUBWA- KOCHA AZAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/yanga-ni-timu-nzuri-tutaingia-kwa.html
0 Response to "YANGA NI TIMU NZURI, TUTAINGIA KWA UMAKINI MKUBWA- KOCHA AZAM"
Post a Comment