title : Waziri wa Kilimo Dkt. Tizeba asimamia zoezi la kusafirisha mbolea.
kiungo : Waziri wa Kilimo Dkt. Tizeba asimamia zoezi la kusafirisha mbolea.
Waziri wa Kilimo Dkt. Tizeba asimamia zoezi la kusafirisha mbolea.
Mbolea tani elfu tatu (3,0000 ikiwa kwenye ghala la kuhifadhia mbolea la Kampuni ya Mohammed Enterprises lililopo eneo la Mbagala ikisubiri kusafirishwa Jijini Dar es Salaam jana. Tani 600 ilitegemewa kusafirishwa jana.
Gari iliyopakiwa mbolea ikiondoka kwenye kwenye ghala la kuhifadhia mbolea la Kampuni ya Mohammed Enterprises lililopo eneo la Mbagala Jijini Dar es Salaam jana kuelekea mikoa ya Mbeya na Rukwa
Waziri wa Kilimo, Dkt. Charles Tizeba akifanya mawasiliano ya moja kwa moja na mawakala wa mbolea katika mikoa ya Rukwa na Mbeya kupata uhakika wa kuwasili kwa shehena ya mbolea alipokuwa kwenye ghala la kuhifadhia mbolea la Kampuni ya Mohammed Enterprises lililopo eneo la Mbagala, Jijini Dar es Salaam jana.
Hivyo makala Waziri wa Kilimo Dkt. Tizeba asimamia zoezi la kusafirisha mbolea.
yaani makala yote Waziri wa Kilimo Dkt. Tizeba asimamia zoezi la kusafirisha mbolea. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Kilimo Dkt. Tizeba asimamia zoezi la kusafirisha mbolea. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/waziri-wa-kilimo-dkt-tizeba-asimamia.html
0 Response to "Waziri wa Kilimo Dkt. Tizeba asimamia zoezi la kusafirisha mbolea."
Post a Comment