WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR ATILIANA SAINI NA BALOZI MDOGO WA CHINA XIE XIAO WU ZANZIBAR

WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR ATILIANA SAINI NA BALOZI MDOGO WA CHINA XIE XIAO WU ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR ATILIANA SAINI NA BALOZI MDOGO WA CHINA XIE XIAO WU ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR ATILIANA SAINI NA BALOZI MDOGO WA CHINA XIE XIAO WU ZANZIBAR
kiungo : WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR ATILIANA SAINI NA BALOZI MDOGO WA CHINA XIE XIAO WU ZANZIBAR

soma pia


WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR ATILIANA SAINI NA BALOZI MDOGO WA CHINA XIE XIAO WU ZANZIBAR

 Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed kushoto akitiliana saini na Balozi mdogo wa China alioko Zanzibar Xie Xiao Wu kulia Msaada wa Fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga mjini Zanzibar.
 Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed kushoto wakibadilishana hati na Balozi mdogo wa China alioko Zanzibar Xie Xiao Wu kulia baada ya kutiliana saini Msaada wa Fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga mjini Zanzibar.
 Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt, Khalid Salum Mohammed kushoto wakipea na Mikono na Balozi mdogo wa China alioko Zanzibar Xie Xiao Wu kulia baada ya kutiliana saini Msaada wa Fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga mjini Zanzibar.
 Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt, Khalid Salum Mohammed kulia akizungumza machache baada ya kutiliana saini na Balozi mdogo wa China alioko Zanzibar Xie Xiao Wu Msaada wa Fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga mjini Zanzibar.
 aziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed akisisitiza jambo alipozungumza machache baada ya kutiliana saini na Balozi mdogo wa China alioko Zanzibar Xie Xiao Wu Msaada wa Fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga mjini Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed wapili kulia akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mdogo alioko Zanzibar Xie Xiao Wu baada ya kutiliana saini Msaada wa Fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga mjini Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR ATILIANA SAINI NA BALOZI MDOGO WA CHINA XIE XIAO WU ZANZIBAR

yaani makala yote WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR ATILIANA SAINI NA BALOZI MDOGO WA CHINA XIE XIAO WU ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR ATILIANA SAINI NA BALOZI MDOGO WA CHINA XIE XIAO WU ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/waziri-wa-fedha-na-mipango-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR ATILIANA SAINI NA BALOZI MDOGO WA CHINA XIE XIAO WU ZANZIBAR"

Post a Comment