Waziri Mwakyembe Amtembelea Wastara, Amchangia Milioni 1

Waziri Mwakyembe Amtembelea Wastara, Amchangia Milioni 1 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mwakyembe Amtembelea Wastara, Amchangia Milioni 1, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Mwakyembe Amtembelea Wastara, Amchangia Milioni 1
kiungo : Waziri Mwakyembe Amtembelea Wastara, Amchangia Milioni 1

soma pia


Waziri Mwakyembe Amtembelea Wastara, Amchangia Milioni 1

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe jana Januari 20, 2018 amemtembelea na kumjulia hali msanii wa filamu Wastara nyumbani kwake Tabata Sanene, Dar es Salaam.

Wastara kwa kipindi kirefu sasa amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya mguu na yupo kwenye maandalizi ya safari kwenda India kwa matibabu zaidi.

Waziri Mwakyembe akiambatana na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu na Katibu Mtendaji wa BASATA alimtakia kheri Wastara na kumkabidhi mchango wa Shs. 1,000,000/= (milioni moja).

Aidha, Mwakyembe aliwasihi wasanii na Watanzania kwa ujumla kumchangia Wastara kwa hali na mali ili aweze kupata fedha za kumwezesha kwenda India kwa matibabu zaidi.


Hivyo makala Waziri Mwakyembe Amtembelea Wastara, Amchangia Milioni 1

yaani makala yote Waziri Mwakyembe Amtembelea Wastara, Amchangia Milioni 1 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mwakyembe Amtembelea Wastara, Amchangia Milioni 1 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/waziri-mwakyembe-amtembelea-wastara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Mwakyembe Amtembelea Wastara, Amchangia Milioni 1"

Post a Comment