title : WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA KATIKA ZIARA YA MKOA WA RUVUMA
kiungo : WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA KATIKA ZIARA YA MKOA WA RUVUMA
WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA KATIKA ZIARA YA MKOA WA RUVUMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi katika Mradi wa Kituo cha kupoozea umeme, eneo la Unanga, katika Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, Januari 7, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Mradi wa Kituo cha kupoozea umeme, katika eneo la Unanga, Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, kushoto ni Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani. Januari 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akibonyeza kitufe, wakati akizindua ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tanesco Mkoa wa Ruvuma, lililopo katika Wilaya ya Songea Mjini, Mkoani Ruvuma. Januari 7, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea na wananchi, baada ya akizindua ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tanesco Mkoa wa Ruvuma, lililopo katika Wilaya ya Songea Mjini, Mkoani Ruvuma. Januari 7, 2018.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA KATIKA ZIARA YA MKOA WA RUVUMA
yaani makala yote WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA KATIKA ZIARA YA MKOA WA RUVUMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA KATIKA ZIARA YA MKOA WA RUVUMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/waziri-mkuu-mhe-kassim-majaliwa-katika.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA KATIKA ZIARA YA MKOA WA RUVUMA"
Post a Comment