WAZIRI MKUU AHIMIZA KILIMO CHA KAHAWA

WAZIRI MKUU AHIMIZA KILIMO CHA KAHAWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AHIMIZA KILIMO CHA KAHAWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AHIMIZA KILIMO CHA KAHAWA
kiungo : WAZIRI MKUU AHIMIZA KILIMO CHA KAHAWA

soma pia


WAZIRI MKUU AHIMIZA KILIMO CHA KAHAWA

*Asisitiza kahawa iuzwe kwa mfumo wa ushirika
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wananchi wa wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wajikite kwenye zao la kahawa ili wawe na zao mbadala la biashara.

Ametoa wito huo leo (Ijumaa, Januari 5, 2017) wakati akizungumza na wakazi wa kijiji cha Lipokela na vijiji jirani, wilayani Songea mara baada ya kukagua shamba la kahawa la Aviv Tanzania lenye ukubwa wa hekta 1,990.

“Limeni kahawa ili mpate fedha sababu zao hili ni la biashara. Kahawa ni miongoni mwa mazao matano ya biashara ambayo Serikali ya awamu ya tano imeamua kuyawekea mkazo ili yaweze kuongeza tija kwa wakulima na kuinua uchumi wa Taifa”.

“Tumeamua kuweka mkazo kwenye mazao matano ya pamba, kahawa, chai, korosho na tumbaku kwa sababu yanaleta tija na kuliingizia Taifa fedha za kigeni,” alisema na kuongeza:

“Tumefanya tathmini na tumegundua udhaifu mkubwa mkubwa katika usimamizi wa mazao haya ndani ya Serikali kuanzia ngazi ya Halmashauri.”
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Molam Tanzania Limited, Medappa Mg, wakati alipotembelea Shamba la Kahawa la AVIV lililopo kwenye kijiji cha Lipokela Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, Waziri Mkuu yupo Mkoani Ruvuma  kwa ziara ya kikazi ya siku tano. Januari 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa ufafanuzi wa miche ya Kahawa,  na mkulima wa zao hilo wakati akikagua kitalu cha miche ya kahawa katika Shamba la Kahawa la AVIV lililopo kwenye kijiji cha Lipokela Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, Waziri Mkuu yupo Mkoani Ruvuma  kwa ziara ya kikazi ya siku tano. Januari 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi miche ya Kahawa, Mkulima wa zao hilo, Remigius Njovu,i nayotolewa bure na Kampuni ya Molam Tanzania Limited, kwa wakulima wa zao la Kahawa, baada ya kukagua kitalu cha miche ya kahawa katika Shamba la Kahawa la AVIV lililopo kwenye kijiji cha Lipokela Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, Waziri Mkuu yupo Mkoani Ruvuma  kwa ziara ya kikazi ya siku tano. Januari 5, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi miche ya Kahawa, Mkulima wa zao hilo, Remigius Njovu,inayotolewa bure na Kampuni ya Molam Tanzania Limited, kwa wakulima wa zao la Kahawa, baada ya kukagua kitalu cha miche ya kahawa katika Shamba la Kahawa la AVIV lililopo kwenye kijiji cha Lipokela Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, Waziri Mkuu yupo Mkoani Ruvuma  kwa ziara ya kikazi ya siku tano. Januari 5, 2018. 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WAZIRI MKUU AHIMIZA KILIMO CHA KAHAWA

yaani makala yote WAZIRI MKUU AHIMIZA KILIMO CHA KAHAWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AHIMIZA KILIMO CHA KAHAWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/waziri-mkuu-ahimiza-kilimo-cha-kahawa_5.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU AHIMIZA KILIMO CHA KAHAWA"

Post a Comment