WAZIRI MAKAMBA AONGOZA SHUGHULI ZA UPANDAJI MITI DODOMA

WAZIRI MAKAMBA AONGOZA SHUGHULI ZA UPANDAJI MITI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MAKAMBA AONGOZA SHUGHULI ZA UPANDAJI MITI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MAKAMBA AONGOZA SHUGHULI ZA UPANDAJI MITI DODOMA
kiungo : WAZIRI MAKAMBA AONGOZA SHUGHULI ZA UPANDAJI MITI DODOMA

soma pia


WAZIRI MAKAMBA AONGOZA SHUGHULI ZA UPANDAJI MITI DODOMA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba akihutubia wakati zoezi la upandaji miti kuendeleza programu ya kuifanya Dodoma iwe ya kijani  iliyofanyika mjini Dodoma.
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba akipanda mti wakati wa zoezi la upandaji miti kuendeleza programu ya kuifanya Dodoma iwe ya kijani  iliyofanyika mjini Dodoma.
 Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Kangi Lugola akishiriki katika zoezi la upandaji miti katika kuendeleza programu ya kuifanya Dodoma iwe ya kijani.
 Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo akifurahia jambo na Wajumbe wa kamati ya bunge ya viwanda , biashara na Mazingira katika siku ya zoezi la programu ya  upandaji wa miti na kuifanya Dodoma kuwa ya kijani.
 Sehemu ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais waliohudhuria katika zoezi hilo wakimsikiliza Mgeni Rasmi (hayupo pichani)
Pichani Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakitumbuiza wakati wa zoezi hilo la upandaji miti.


Hivyo makala WAZIRI MAKAMBA AONGOZA SHUGHULI ZA UPANDAJI MITI DODOMA

yaani makala yote WAZIRI MAKAMBA AONGOZA SHUGHULI ZA UPANDAJI MITI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MAKAMBA AONGOZA SHUGHULI ZA UPANDAJI MITI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/waziri-makamba-aongoza-shughuli-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MAKAMBA AONGOZA SHUGHULI ZA UPANDAJI MITI DODOMA"

Post a Comment