Wananchi wa Wilaya ya Wete Juu Kupata Huduma ya Umeme wa Jua.

Wananchi wa Wilaya ya Wete Juu Kupata Huduma ya Umeme wa Jua. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wananchi wa Wilaya ya Wete Juu Kupata Huduma ya Umeme wa Jua., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wananchi wa Wilaya ya Wete Juu Kupata Huduma ya Umeme wa Jua.
kiungo : Wananchi wa Wilaya ya Wete Juu Kupata Huduma ya Umeme wa Jua.

soma pia


Wananchi wa Wilaya ya Wete Juu Kupata Huduma ya Umeme wa Jua.

AFISA Mdhamini Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazangira Pemba, Juma Bakari Alawi (JB) akizungumza na wananchi wa njau Wilaya ya Wete, juu ya mikakati ya Serikali kupeleka Umeme wa Jua katika Visiwa Vidogo vidogo Pemba
WANANCHI mbali mbali wa kisiwa cha Kokota Wilaya ya Wete,  wakifuatilia kwa makani maelezo juu ya utafiti wa uwekaji nishati ya umeme wa Jua katika kisiwa hicho, kutoka Afisa Mdhamini Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira Juma Bakar Alawi(JB)
MENEJA Sera na Mipango kutoka shirika la Umeme Zanzibar (ZECO), Maulid Shirazi akiwaonyesha wataalamu kutoka kampuni ya multiconsult ya nchini Norway, eneo ambalo linatarajiwa kuwekewa vifaa vya Nishati mbadala ya Umeme wa Jua
MWANDISHI wa habari wa ZBC Raya Ahmada, akizungumza na mjumbe wa Sheha wa Shehia ya Mtambwe Kusinii Wilaya Wete, kuhusiana na ujio wa umeme wa jua katika kisiwa hicho.(Picha na Said Abdulrahaman. Pemba)


Hivyo makala Wananchi wa Wilaya ya Wete Juu Kupata Huduma ya Umeme wa Jua.

yaani makala yote Wananchi wa Wilaya ya Wete Juu Kupata Huduma ya Umeme wa Jua. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wananchi wa Wilaya ya Wete Juu Kupata Huduma ya Umeme wa Jua. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/wananchi-wa-wilaya-ya-wete-juu-kupata.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wananchi wa Wilaya ya Wete Juu Kupata Huduma ya Umeme wa Jua."

Post a Comment