VIONGOZI WANNE WASHTAKIWA KAMATI YA MAADILI

VIONGOZI WANNE WASHTAKIWA KAMATI YA MAADILI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIONGOZI WANNE WASHTAKIWA KAMATI YA MAADILI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VIONGOZI WANNE WASHTAKIWA KAMATI YA MAADILI
kiungo : VIONGOZI WANNE WASHTAKIWA KAMATI YA MAADILI

soma pia


VIONGOZI WANNE WASHTAKIWA KAMATI YA MAADILI

Sekretarieti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF imewapeleka kwenye kamati ya Maadili viongozi wanne kwa kughushi na udanganyifu. 

Viongozi walioshtakiwa kwenye Kamati ya Maadili ni msimamizi wa Kituo cha Mtwara Dunstan Mkundi, Katibu wa Chama cha soka mkoa wa Mtwara Kizito Mbano, Muhasibu msaidizi wa klabu ya Simba Suleiman Kahumbu na Katibu msaidizi wa Klabu ya Ndanda FC ya Mtwara Selemani Kachele. 

Sekretarieti inawashtaki viongozi hao kwa makosa ya kughushi pamoja na udanganyifu wa mapato kwenye mchezo namba 94 kati ya Ndanda FC ya Mtwara dhidi ya Simba ya Dar es Salaam iliyochezwa Disemba 30, 2017 kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara.

Kwa tuhuma hizo viongozi hao watatakiwa kufika mbele ya kamati Januari 18, 2018.

Kamati ya maadili iko chini ya mwenyekiti Wakili Hamidu Mbwezeleni, Makamu Mwenyekiti Wakili Steven Zangira, Wajumbe ni Glorious Luoga, Walter Lungu na Amin Bakhresa


Hivyo makala VIONGOZI WANNE WASHTAKIWA KAMATI YA MAADILI

yaani makala yote VIONGOZI WANNE WASHTAKIWA KAMATI YA MAADILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI WANNE WASHTAKIWA KAMATI YA MAADILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/viongozi-wanne-washtakiwa-kamati-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VIONGOZI WANNE WASHTAKIWA KAMATI YA MAADILI"

Post a Comment