title : Video: Kibao kipya cha Barnaba ft Aslay ”Ngoma”
kiungo : Video: Kibao kipya cha Barnaba ft Aslay ”Ngoma”
Video: Kibao kipya cha Barnaba ft Aslay ”Ngoma”
Barnaba ameachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha msanii toka kundi la ya moto band lililovunjika tangu mwaka jana, dogo Aslay ambaye amekuwa tishio kwa wanamuziki kwa kutoa nyimbo nyingi, kali na nzuri zinazotamba mtaa kwa mtaa.
Wimbo huo umechezwa katika mazingira ya kijijini huku mpendezesha video akiwa mwanadada maarufu Tunda.
Tazama video hiyo hapo chini
Hivyo makala Video: Kibao kipya cha Barnaba ft Aslay ”Ngoma”
yaani makala yote Video: Kibao kipya cha Barnaba ft Aslay ”Ngoma” Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Video: Kibao kipya cha Barnaba ft Aslay ”Ngoma” mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/video-kibao-kipya-cha-barnaba-ft-aslay.html
0 Response to "Video: Kibao kipya cha Barnaba ft Aslay ”Ngoma”"
Post a Comment