title : Lowassa Akutana na Freeman Mbowe Kumpa Mrejesho wa Ikulu
kiungo : Lowassa Akutana na Freeman Mbowe Kumpa Mrejesho wa Ikulu
Lowassa Akutana na Freeman Mbowe Kumpa Mrejesho wa Ikulu
Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa amekutana na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ili kumpa mrejesho wa alichozungumza na Rais John Magufuli.
Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi na Msemaji wa Lowassa imeeleza kuwa kumekuwa na waraka na taarifa nyingi za kupotosha umma kuhusu ziara ya Lowassa kwenda Ikulu na nyingine zikisemwa zimetoka kwa msemaji wake.
“Taarifa zote hizo siyo kweli na wala siyo rasmi kutoka ofisini kwa Mh Lowassa. Baada ya ziara ile, Mhe Lowassa alikutana na mwenyekiti wa chama chake, Mhe Freeman Mbowe na kumpa mrejesho wa yaliyojiri Ikulu.”
“Kumekuwa na taarifa nyingi kwenye mitandao zikiwemo kufunguliwa kwa akaunti mbalimbali feki , taarifa zote hizo zipuuzwe kwani zina lengo la kupotosha kwa malengo wanayoyajua wapotoshaji hao pamoja na mawakala wao,”
Hivyo makala Lowassa Akutana na Freeman Mbowe Kumpa Mrejesho wa Ikulu
yaani makala yote Lowassa Akutana na Freeman Mbowe Kumpa Mrejesho wa Ikulu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Lowassa Akutana na Freeman Mbowe Kumpa Mrejesho wa Ikulu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/lowassa-akutana-na-freeman-mbowe-kumpa.html
0 Response to "Lowassa Akutana na Freeman Mbowe Kumpa Mrejesho wa Ikulu"
Post a Comment