Uchumi : Naibu Waziri, Kijaji Afanya Uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Uhasibu Arusha

Uchumi : Naibu Waziri, Kijaji Afanya Uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Uhasibu Arusha - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Uchumi : Naibu Waziri, Kijaji Afanya Uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Uhasibu Arusha, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Uchumi : Naibu Waziri, Kijaji Afanya Uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Uhasibu Arusha
kiungo : Uchumi : Naibu Waziri, Kijaji Afanya Uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Uhasibu Arusha

soma pia


Uchumi : Naibu Waziri, Kijaji Afanya Uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Uhasibu Arusha



Naibu Waziri wa fedha na mipango Mh.Dkt Ashatu Kijaji(Mb)amabye alikuwa mgeni rasmi akizungumza katika uzinduzi wa baraza la pili la Wafanyakazi wa chuo cha Uhasibu Arusha,alisema madhumuni ya baraza hilo ni kuwapa fursa watumishi kupitia wawakilishi wao pamoja na kujadiliana juu ya masuala mbalimbali.(Habari Picha na Pamela Mollel)

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro akizungumza katika uzinduzi wa baraza la pili la wafanyakazi wa Chuo cha Uhasibu Arusha









Makamu Mweneyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Uhasibu Arusha Bw.Juma Kaniki akisoma risala katika uzinduzi huo






Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha,Dk.Faraji Kasidi akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro katika uzinduzi wa baraza la pili la wafanyakazi wa Chuo cha Uhasibu Arusha









Naibu Waziri wa fedha na mipango Mh.Dkt Ashatu Kijaji(Mb)katikati akinyoosha juu mkataba wa kuunda baraza ambao umehakikiwa na kusainiwa na Kamishna wa kazi,wa pili kulia niKaimu Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha,Dk.Faraji Kasidi,na wakwanza kushoto ni Didas Malekia Mwenyekiti wa tawi la IAA chama kilichounda baraza la wafanyakazi(THTU)






Sehemu ya Baraza la Wafanyakazi Chuo cha Uhasibu Arusha












Baadhi ya wanafunzi chuo cha Uhsibu Arusha wakifatilia hotuba ya mgeni rasmi kwa umakini ambapo pamoja na mambo mengi Naibu Waziri wa fedha na Mipango Dkt.Ashatu Kijaji aliwasisitiza umuhimu wa kila mmoja kuwa mshiriki mkubwa wa kupambana na rushwa ambayo inajikita katika kupotosha na kumomonyoa maadili.

















Naibu Waziri wa fedha na mipango Mh.Dkt Ashatu Kijaji(Mb) akiwa katika picha ya pamoja na baraza la wafanyakazi wa chuo cha Uhasibu Arusha Tarehe 10 Januari 2018





Hivyo makala Uchumi : Naibu Waziri, Kijaji Afanya Uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Uhasibu Arusha

yaani makala yote Uchumi : Naibu Waziri, Kijaji Afanya Uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Uhasibu Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Uchumi : Naibu Waziri, Kijaji Afanya Uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Uhasibu Arusha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/uchumi-naibu-waziri-kijaji-afanya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Uchumi : Naibu Waziri, Kijaji Afanya Uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Uhasibu Arusha"

Post a Comment