title : TAZAMA :Matukio katika Picha DC Mjema Atembelea shule za Sekondari Jangwani na Azania Dar es Salaam
kiungo : TAZAMA :Matukio katika Picha DC Mjema Atembelea shule za Sekondari Jangwani na Azania Dar es Salaam
TAZAMA :Matukio katika Picha DC Mjema Atembelea shule za Sekondari Jangwani na Azania Dar es Salaam
Dc wa Ilala Sophia Mjema (kushoto) Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari Jangwani Geraldine Mwanisenga wakiwa katika Ziara ya kukagua maendeleo ya ukarabati unaofanyika katika shule hiyo.
Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari Jangwani Geraldine Mwanisenga akisoma ripoti ya maendeleo ya ukarabati ulivyokwenda na unavyoendelea katika shule hiyo.
Mhe. Mjema akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa shule ya Jangwani, na kuaasa wasome kwa kuangalia malengo waliojiwekea na kukataa mimba za utotoni zenye kukatisha ndoto zao.
Dc Mjema akizungumza na baadhi ya Wafanzi wa A-level na O-level katika shule ya Sekonadari Azania iliyopo Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Mhe.Mjema akisalimiana na Makamu Rais wa wanafunzi katika shule ya Azania God love Kapufi(kushoto)
Katika Picha DC Mjema akizungumza jambo na mmoja wa Wanafunzi hao.
Picha ya pamoja baada ya kukagua maendeleo ya Ukarabati wa Majengo katika shule ya Azania na Jangwani katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Mhe.Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza jambo wakati alipotembelea shule ya Sekondari Jagwani.
Mhe. Mjema akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa shule ya Jangwani, na kuaasa wasome kwa kuangalia malengo waliojiwekea na kukataa mimba za utotoni zenye kukatisha ndoto zao.
Baadhi ya Majengo yaliokarabatiwa yakiwemo Mabweni, vyoo, na vyumba vya madarasa.
Mhe.Mjema akisalimiana na Makamu Rais wa wanafunzi katika shule ya Azania God love Kapufi(kushoto)
Katika Picha DC Mjema akizungumza jambo na mmoja wa Wanafunzi hao.
Picha ya pamoja baada ya kukagua maendeleo ya Ukarabati wa Majengo katika shule ya Azania na Jangwani katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala TAZAMA :Matukio katika Picha DC Mjema Atembelea shule za Sekondari Jangwani na Azania Dar es Salaam
yaani makala yote TAZAMA :Matukio katika Picha DC Mjema Atembelea shule za Sekondari Jangwani na Azania Dar es Salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAZAMA :Matukio katika Picha DC Mjema Atembelea shule za Sekondari Jangwani na Azania Dar es Salaam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/tazama-matukio-katika-picha-dc-mjema.html
0 Response to "TAZAMA :Matukio katika Picha DC Mjema Atembelea shule za Sekondari Jangwani na Azania Dar es Salaam"
Post a Comment