title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Akiendelea na Ziara Yake UAE.
kiungo : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Akiendelea na Ziara Yake UAE.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Akiendelea na Ziara Yake UAE.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtukufu Mfalme Shaikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi, alipofika katika makazi yake akiwa katika ziara ya kutembelea Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE. Kushoto Viongozi wa Juu wa Serikal
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Mtukufu Sheikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi Supreme Council Member and Ruler of Sharjah, wakielekea katika chumba cha mkutano baada ya kuwasili katika Makazi yake kwa mazungumzo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Mtukufu Shaikh Sultan Bin Mohammed, Al Qasimi Supreme Council Member and Ruler of Sharjah, wakifurahia jambo wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika jengo la Makaazi ya Mfalme Sharjah.
MTUKUFU Mfalme Shaikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi akiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipofika katika makaazi yake Mjini Sharjah,wakati wa ziara yake katika Nchi za Umoja wa Nchi za Mafme za Kiarabu UAE
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Shaikh Sultani Bin Mohammed wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao, yaliofanyika katika makaazi yake Nchini Sharjah
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Akiendelea na Ziara Yake UAE.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Akiendelea na Ziara Yake UAE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Akiendelea na Ziara Yake UAE. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_29.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Akiendelea na Ziara Yake UAE."
Post a Comment