title : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ameondoa Nchini Leo Kuanza Ziara ya Wiki Moja Nchi za Falme za Kiarabu
kiungo : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ameondoa Nchini Leo Kuanza Ziara ya Wiki Moja Nchi za Falme za Kiarabu
Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ameondoa Nchini Leo Kuanza Ziara ya Wiki Moja Nchi za Falme za Kiarabu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi,kabla ya kuaza ziara yake katika Nchi za Falme za Kiarabu wakiwa katika chumba cha VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amaan Karume Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na UsaIama Zanzibar wakati wa kuondoa Zanzibar kuaza ziara yake ya Kiserikali katika Nchi za Falme za Nchi za Kiarabu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Wazee wa CCM Zanzibar katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kuaza ziara yake ya Wiki moja katika Nchi za Falma za Kiarab.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanziba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakati akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kuaza ziara yake ya Kiserikali katika Nchi za Falme za Kiarabu.
Picha na Ikulu
Hivyo makala Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ameondoa Nchini Leo Kuanza Ziara ya Wiki Moja Nchi za Falme za Kiarabu
yaani makala yote Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ameondoa Nchini Leo Kuanza Ziara ya Wiki Moja Nchi za Falme za Kiarabu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ameondoa Nchini Leo Kuanza Ziara ya Wiki Moja Nchi za Falme za Kiarabu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/rais-wa-zanzibar-dk-shein-ameondoa.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ameondoa Nchini Leo Kuanza Ziara ya Wiki Moja Nchi za Falme za Kiarabu"
Post a Comment