title : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli Akutana na Mjumbe Maalumu Kutoka Kwa Rais Kagame.
kiungo : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli Akutana na Mjumbe Maalumu Kutoka Kwa Rais Kagame.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli Akutana na Mjumbe Maalumu Kutoka Kwa Rais Kagame.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Dkt Donald Kaberuka, Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame (kushoto kwa Rais), katika mazungumzo yaliyohudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Mhe. Dotto James na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Uwekezaji Profesa Adolf Mkenda Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 25, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Dkt. Donald Kaberula, Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame na ujumbe wake pamoja na na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Mhe. Dotto James na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Uwekezaji Profesa Adolf Mkenda Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Dkt. Donald Kaberuka, Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, huku Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akishuhudia baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam.
Hivyo makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli Akutana na Mjumbe Maalumu Kutoka Kwa Rais Kagame.
yaani makala yote Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli Akutana na Mjumbe Maalumu Kutoka Kwa Rais Kagame. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli Akutana na Mjumbe Maalumu Kutoka Kwa Rais Kagame. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/rais-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_25.html
0 Response to "Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli Akutana na Mjumbe Maalumu Kutoka Kwa Rais Kagame."
Post a Comment