RAIS SHEIN AMETEMBELEA STUDIO ZA ZBC RADIO RAHALEO MJINI UNGUJA.

RAIS SHEIN AMETEMBELEA STUDIO ZA ZBC RADIO RAHALEO MJINI UNGUJA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS SHEIN AMETEMBELEA STUDIO ZA ZBC RADIO RAHALEO MJINI UNGUJA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS SHEIN AMETEMBELEA STUDIO ZA ZBC RADIO RAHALEO MJINI UNGUJA.
kiungo : RAIS SHEIN AMETEMBELEA STUDIO ZA ZBC RADIO RAHALEO MJINI UNGUJA.

soma pia


RAIS SHEIN AMETEMBELEA STUDIO ZA ZBC RADIO RAHALEO MJINI UNGUJA.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Ali Mohammed Shein akisalimiana na Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Habari la Zanzibar ZBC, Bi Nasra Mohammed mara baada ya kuwasili katika Jumba la Studio za ZBC radio Rahaleo mjini Unguja kwa ajili ya kuangalia Mitambo na Vifaa mbalimbali vya kurushia matangazo.Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Ali Mohammed Shein wapili kulia akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Habari la ZBC, Aiman Duwe mara baada ya kuingia katika Jumba la Studio za ZBC radio Rahaleo mjini Unguja kwa ajili ya kuangalia Mitambo na Vifaa mbalimbali vya kurushia matangazo. Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein kushoto akipata maelezo kutoka kwa Msaidizi Fundi Mkuu Radio Lazaro Joseph wakati alipotembelea moja katika Studio za ZBC radio Rahaleo mjini Unguja kwa ajili ya kuangalia Mitambo na Vifaa mbalimbali vya kurushia matangazo.Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein wapili kushoto akisikiliza  maelezo kutoka kwa  Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Rashid Ali Juma wakati alipotembelea moja katika Studio za ZBC radio Rahaleo mjini Unguja kwa ajili ya kuangalia Mitambo na Vifaa mbalimbali vya kurushia matangazo.Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein akitembelea sehemu mbalimbali za Jumba la Studio za ZBC radio Rahaleo mjini Unguja kwa ajili ya kuangalia Mitambo na Vifaa mbalimbali vya kurushia matangazo.Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein wapili kushoto akitembelea sehemu mbalimbali za Jumba la Studio za ZBC radio Rahaleo mjini Unguja kwa ajili ya kuangalia Mitambo na Vifaa mbalimbali vya kurushia matangazo.Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala RAIS SHEIN AMETEMBELEA STUDIO ZA ZBC RADIO RAHALEO MJINI UNGUJA.

yaani makala yote RAIS SHEIN AMETEMBELEA STUDIO ZA ZBC RADIO RAHALEO MJINI UNGUJA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS SHEIN AMETEMBELEA STUDIO ZA ZBC RADIO RAHALEO MJINI UNGUJA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/rais-shein-ametembelea-studio-za-zbc.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS SHEIN AMETEMBELEA STUDIO ZA ZBC RADIO RAHALEO MJINI UNGUJA."

Post a Comment