Rais Magufuli na Mkewe Wamemchangia Wastara Mil 15/= Za Matibabu

Rais Magufuli na Mkewe Wamemchangia Wastara Mil 15/= Za Matibabu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Magufuli na Mkewe Wamemchangia Wastara Mil 15/= Za Matibabu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Magufuli na Mkewe Wamemchangia Wastara Mil 15/= Za Matibabu
kiungo : Rais Magufuli na Mkewe Wamemchangia Wastara Mil 15/= Za Matibabu

soma pia


Rais Magufuli na Mkewe Wamemchangia Wastara Mil 15/= Za Matibabu

Ngusa Samike ambaye ni Katibu wa Rais akiwasilisha mchango wa Sh. milioni 15 kwa mwigizaji Wastara  Juma kutoka kwa Rais John  Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu.

Samike (wa pili kulia) akiwa na watangazaji wa kipindi cha SHILAWADU baada ya kumkabidhi Wastara fedha hiyo.

…Akiongea katika hafla hiyo.
Rais John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wamechangia Sh. milioni 15 kwa ajili ya matibabu ya msanii Wastara Juma ambazo ziliwazilishwa na Katibu wa Rais, Ngusa Samike nyumbani kwa msanii huyo. Pia aliwasilisha mchango wa Sh. milioni  moja na laki tisa kutoka kwa wasaidizi wa Rais.
PICHA/HABARI NA HILALY DAUDI/GPL


Hivyo makala Rais Magufuli na Mkewe Wamemchangia Wastara Mil 15/= Za Matibabu

yaani makala yote Rais Magufuli na Mkewe Wamemchangia Wastara Mil 15/= Za Matibabu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli na Mkewe Wamemchangia Wastara Mil 15/= Za Matibabu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/rais-magufuli-na-mkewe-wamemchangia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Magufuli na Mkewe Wamemchangia Wastara Mil 15/= Za Matibabu"

Post a Comment