title : Rais Dkt. Magufuli azindua mfumo wa uhamiaji mtandao (e-Immigration) leo
kiungo : Rais Dkt. Magufuli azindua mfumo wa uhamiaji mtandao (e-Immigration) leo
Rais Dkt. Magufuli azindua mfumo wa uhamiaji mtandao (e-Immigration) leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akichukuliiwa alama za vidole kwa ajili ya kujipatia pasipoti yake mpya ya kielektronikia makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akichukuliiwa alama za vidole kwa ajili ya kujipatia pasipoti yake mpya ya kielektronikia makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akichukuliiwa alama za vidole kwa ajili ya kujipatia pasipoti yake mpya ya kielektronikia makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018.


Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akipokea pasipoti yake mpya ya kielektronikia kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018.
Hivyo makala Rais Dkt. Magufuli azindua mfumo wa uhamiaji mtandao (e-Immigration) leo
yaani makala yote Rais Dkt. Magufuli azindua mfumo wa uhamiaji mtandao (e-Immigration) leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dkt. Magufuli azindua mfumo wa uhamiaji mtandao (e-Immigration) leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/rais-dkt-magufuli-azindua-mfumo-wa.html
0 Response to "Rais Dkt. Magufuli azindua mfumo wa uhamiaji mtandao (e-Immigration) leo"
Post a Comment