OKWI NA UFUNGAJI BORA WA VPL

OKWI NA UFUNGAJI BORA WA VPL - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa OKWI NA UFUNGAJI BORA WA VPL, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : OKWI NA UFUNGAJI BORA WA VPL
kiungo : OKWI NA UFUNGAJI BORA WA VPL

soma pia


OKWI NA UFUNGAJI BORA WA VPL

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

Ikiwa ni katika kuhakikisha anabeba kiatu cha ufungaji bora msimu wa 2017/18 mshambuliaji wa Simba , Emmanuel Okwi leo ameweza kuifungia timu yake magoli 2 na kujiweka juu ya msimamo.

Okwi aliyefikisha magoli 10 ikiwa ni muda mrefu toka awe na ukame wa magoli huku na kuamsha mbio za ufungaji bora.

Katika mechi dhidi ya Singida, Okwi aliyeingua katika dakika ya 65 akichukua nafasi ya Mzamiru Yassin aliweza kuandika goli la 3 kwa timu yake kwenye dakika ya 75 akipokea pasi ya Kichuya.

Dakika ya 81, Okwi anaandika goli la 4 na la 10 kwa upande wake akipokea pasi ya Said Ndemla na kuzidi kudidimiza matumaini ya Singida United.

Awali Okwi alikwama akiwa na mabao nane kwa kipindi kirefu hadi mshambuliaji wa Mbao FC, Habibu Kiyombo akafikisha mabao 7.

Simba imeweza kuimaliza Singida United kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam goli la kwanza likifungwa dakika ya 3 na Shiza Kichuya na la pili dakika ya 25 na Asante Kwasi na kuendelea kusalia kileleni kwa alama 29 akifuatiwa na Azam yenye alama 27.


Hivyo makala OKWI NA UFUNGAJI BORA WA VPL

yaani makala yote OKWI NA UFUNGAJI BORA WA VPL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala OKWI NA UFUNGAJI BORA WA VPL mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/okwi-na-ufungaji-bora-wa-vpl.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "OKWI NA UFUNGAJI BORA WA VPL"

Post a Comment