title : Nishati : Taarifa kutoka TANESCO kwa Wateja wake wa Mkoa wa Temeke
kiungo : Nishati : Taarifa kutoka TANESCO kwa Wateja wake wa Mkoa wa Temeke
Nishati : Taarifa kutoka TANESCO kwa Wateja wake wa Mkoa wa Temeke
TAARIFA YA WATEJA WETU WA MKOA WA TEMEKE
Tunawatangazia Wateja wetu kuwa tumelazimika kuzima njia ya umeme ya Kipawa-Chang'ombe saa 1:30 Asubuhi baada ya moto kutokea kwenye "arrestor" ya Kituo cha kupoza umeme cha Chan'gombe.
Mafundi wanaendelea na jitihada za kurejesha umeme.
Tutaendelea kutoa taarifa zaidi.
Kwa mawasiliano toa taarifa kupitia,
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100
Tovuti: www.tanesco.co.tz, mitandao ya kijamii:
Twitter, http://www.twitter.com/tanescoyetu,
Facebook http://ift.tt/2CNxNsB
IMETOLEWA NA: OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU
Hivyo makala Nishati : Taarifa kutoka TANESCO kwa Wateja wake wa Mkoa wa Temeke
yaani makala yote Nishati : Taarifa kutoka TANESCO kwa Wateja wake wa Mkoa wa Temeke Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Nishati : Taarifa kutoka TANESCO kwa Wateja wake wa Mkoa wa Temeke mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/nishati-taarifa-kutoka-tanesco-kwa.html
0 Response to "Nishati : Taarifa kutoka TANESCO kwa Wateja wake wa Mkoa wa Temeke"
Post a Comment