title : Mzee Majuto Afunguka Alivyokosa Kitanda Muhimbili
kiungo : Mzee Majuto Afunguka Alivyokosa Kitanda Muhimbili
Mzee Majuto Afunguka Alivyokosa Kitanda Muhimbili

Muigizaji Staa ndani ya Bongo Movie Mzee King Majuto ameeleza ilivyokuwa mpaka akakosa kitanda katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na ugonjwa unaomsumbua kwa sasa.
Majuto amesema ili mbidi arudi kulala Vingunguti saa nane usiku baada ya kukosa kitanda katika vyumba VIP ambapo wao walihitaji, pia ameeleza kuwa anaugua Tezi Dume na ameshafanya vipimo ila anatakiwa arudi siku ya Jumanne kwa ajili ya kuangalia namna ya kupata matibabu zaidi.
“Ilikuwa nipumzike ila tulihitaji VIP sasa sijui tatizo lilikuwa nini au ndo haya mambo ya Ki-TZ mpaka uonyooshe mikono, askari wa pale alibishana na mke wangu mwisho akasema hakuna chumba ili Saa nane usiku tufanye utaratibu wa kurudi nyumbani, tatizo ni tezi dume,”-King Majuto

Hivyo makala Mzee Majuto Afunguka Alivyokosa Kitanda Muhimbili
yaani makala yote Mzee Majuto Afunguka Alivyokosa Kitanda Muhimbili Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mzee Majuto Afunguka Alivyokosa Kitanda Muhimbili mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mzee-majuto-afunguka-alivyokosa-kitanda.html
0 Response to "Mzee Majuto Afunguka Alivyokosa Kitanda Muhimbili"
Post a Comment