title : mvua kubwa yakwamisha safari barabara ya Dodoma-Morogoro
kiungo : mvua kubwa yakwamisha safari barabara ya Dodoma-Morogoro
mvua kubwa yakwamisha safari barabara ya Dodoma-Morogoro
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Dodoma.
Mvua Kubwa zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha adha Kubwa kwa watumiaji wa barabara ya Dodoma -Morogoro kutokana na eneo kubwa la barabarani kufunikwa na maji kuanzia Mtanana mpaka Kibaigwa.
Maji hayo ambayo yamesababisha adha ya mabasi ya abiria na binafsi kushindwa kupita kutokana na kufanya wasafiri kuendelea kukaa hapo kwa zaidi ya Saa nne kusubiri maji yapungue.
Wenyeji wa eneo hilo wamesema kuwa Maji hayo yamekuwa yakitoka milimani ambapo mvua zimenyesha kuanzia saa saba usiku
Hivyo makala mvua kubwa yakwamisha safari barabara ya Dodoma-Morogoro
yaani makala yote mvua kubwa yakwamisha safari barabara ya Dodoma-Morogoro Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala mvua kubwa yakwamisha safari barabara ya Dodoma-Morogoro mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mvua-kubwa-yakwamisha-safari-barabara.html
0 Response to "mvua kubwa yakwamisha safari barabara ya Dodoma-Morogoro"
Post a Comment