title : MKOA KASKAZINI PEMBA WENYEJI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI).
kiungo : MKOA KASKAZINI PEMBA WENYEJI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI).
MKOA KASKAZINI PEMBA WENYEJI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI).
Katibu Tawala Mkoa Kaskazini Pemba Ahmed Khalid Abdalla akiwakaribisha wageni katika Mkutano wa kujadili madhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani yanayotarajiwa kufanyika katika Mkoa huo.
Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman akifungua Mkutano wa kujadili madhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani yanayotarajiwa kufanyika katika Mkoa wake.
Katibu Mkuu Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Zanzibar (ZATUC) Khamis Mwinyi Mohammed (aliesimama) akitoa maelezo juu ya mchakato na ufanikishaji wa Madhimisho ya Mei mosi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba.
Afisa kutoka Wizara ya Kazi Zanzibar Amin Ali Amin akichangia kitu katika Mkutano huo uliofanyika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba.
Picha na Makame Mshenga Pemba.
Hivyo makala MKOA KASKAZINI PEMBA WENYEJI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI).
yaani makala yote MKOA KASKAZINI PEMBA WENYEJI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI). Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKOA KASKAZINI PEMBA WENYEJI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI). mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mkoa-kaskazini-pemba-wenyeji-wa.html
0 Response to "MKOA KASKAZINI PEMBA WENYEJI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI)."
Post a Comment