MC Pilipili Aipongeza Serkali kwa Kuwabana Wanoatupia Picha za UCHI Mitandaoni .....Aitaka Pia Imuhoji Idris na Kim Sasha

MC Pilipili Aipongeza Serkali kwa Kuwabana Wanoatupia Picha za UCHI Mitandaoni .....Aitaka Pia Imuhoji Idris na Kim Sasha - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MC Pilipili Aipongeza Serkali kwa Kuwabana Wanoatupia Picha za UCHI Mitandaoni .....Aitaka Pia Imuhoji Idris na Kim Sasha, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MC Pilipili Aipongeza Serkali kwa Kuwabana Wanoatupia Picha za UCHI Mitandaoni .....Aitaka Pia Imuhoji Idris na Kim Sasha
kiungo : MC Pilipili Aipongeza Serkali kwa Kuwabana Wanoatupia Picha za UCHI Mitandaoni .....Aitaka Pia Imuhoji Idris na Kim Sasha

soma pia


MC Pilipili Aipongeza Serkali kwa Kuwabana Wanoatupia Picha za UCHI Mitandaoni .....Aitaka Pia Imuhoji Idris na Kim Sasha

Baada ya Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kumuita msanii wa Bongo Fleva Gigy Money na Mwanamitindo Sanchoka kwa mahojiano maalumu kuhusu kazi zao ambazo zinaonekana zipo kinyume na maadili hususani kwenye mavazi wanayovaa, Hatimaye Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, MC Pilipili ameipongeza Serikali kwa hatua hiyo na kuishauri iendelee kuwasaka wengine wanaofanya hivyo.

MC Pilipili amesema amepokea taarifa hizo kwa mikono miwili ingawaje amesema kuna watu wengi mitandaoni wanafanya makosa kama hayo ya kuvaa nguo fupi au kuonesha maungo yao kwenye mitandao.

“Hiyo hatua mimi nimeipenda kwanza imeturudisha kwenye Maadili..Unajua hapa Bongo mtu anaweza akawa maarufu kwa kuposti maumbo yake tuu mtandaoni hii ni kinyume cha maadili,“amesema MC Pilipili na kuwataja watu wengine wanaokaa uchi mitandaoni

“Nilipatwa na maswali juzi Sancho ameitwa, Gigy Money kaitwa lakini pia kuna msanii mwingine alikuwa maarufu kwa kuposti picha kama hizo amejichora mitatuu anaitwa Agness, mwingine anaitwa Kim Sasha lakini wakati huo namuona Idris naye amevaa chupi hivi ile haihamasishi au naye aitwe?“amesema MC Pilipili.


Hivyo makala MC Pilipili Aipongeza Serkali kwa Kuwabana Wanoatupia Picha za UCHI Mitandaoni .....Aitaka Pia Imuhoji Idris na Kim Sasha

yaani makala yote MC Pilipili Aipongeza Serkali kwa Kuwabana Wanoatupia Picha za UCHI Mitandaoni .....Aitaka Pia Imuhoji Idris na Kim Sasha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MC Pilipili Aipongeza Serkali kwa Kuwabana Wanoatupia Picha za UCHI Mitandaoni .....Aitaka Pia Imuhoji Idris na Kim Sasha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mc-pilipili-aipongeza-serkali-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MC Pilipili Aipongeza Serkali kwa Kuwabana Wanoatupia Picha za UCHI Mitandaoni .....Aitaka Pia Imuhoji Idris na Kim Sasha"

Post a Comment